Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,222
- 18,381
Huyu ameja kutuchagulia mshindi!!which is hogwash.Kila mtu ana nafasi yake na uwezo wake. Sidhani kama mleta huu uzi alimaanisha kutafuta mshindi. Anyways, hawa wote ni viongozi wetu, kwa hiyo tuwapendeni wote, utakapofika wakati wa kuwachagua kuwapa madaraka fulani fulani, tutaamua nani akae wapi. Ikumbukwe sisi wapiga kura ndo tuna nguvu ya kuamua nani akae wapi kupitia taratibu na chaguzi zetu ndani ya chama.
Mkuu SG8, hii kauli imenistua kidogo!, unamaanisha wale watakaosababisha CCM ishinde tena, Watanzania hatuta wasamehe?, hao watakaipa ushindi hiyo CCM jee watakuwa ni kina nani?.
Wakati tukijiandaa kutowasamehe watakaosababisha CCM ishinde mwaka 2015, jee tutawafanya nini hawa ambao tangu leo wanatamka wazi kuwa ili Chadema ishinde 2015, ni lazima ifanye a,b,c,na d!, na kutoa angalizo, isipofanya hivyo , 2015 ni CCM tena!. Mpaka sasa, Chadema bado haijafanya, wala haijaonyesha kufanya!. Ikitokea ni kweli 2015, CCM ikashinda tena kwa sababu Chadema haikufanya a,b,c,na d, itamaanisha, waliofanya CCM ishinde tena 2015 ni Chadema, jee hao nakuuliza mkuu SG8, jee mtawafanya nini hawa Chadema wataosababisha CCM ishinde tena 2015?.
By the way nimelipenda sana lile jina la utangulizi la rais wa ...Ford wa Marekani, just curious what does "S" stand for?.
P.
Tukifika siku ya kutafuta mgombea wa Uraisi tutawatathimini sasa tunatathimi anayejenga Chama kwanza. Swala la kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti sana, ukisoma yale makarabrashia ya maprofesa wetu ni mazuri sana utendaji ndio unatupashida. Duniani watu hawawezi kufanana na kulingana kwa kila kitu.
Ndani ya Chadema viongozi wetu wote wana input na tunaziheshimu sana kazi zao kwani kila aliyefanya kwa moyo wa kuwasaidia watanzania na chama tutamwenzi. Waacheni wafanye kazi ya kujenga chama msiwatoe kwenye hilo kwa sasa na wale wanaofanya kampeni za uraisi waacheni wafanye msiwatoe kwenye hilo na wale wanaounganisha watanzania waacheni wafanye na wale wanaovuruga chama vile vile waacheni, Acheni ngano na magugu viote pamoja ili wakati wa palizi usije ukachanganya ukang'oa ngano badala ya magugu.
Busara za Chief Mkwawa wa kalenga
Hawawezi kutulia kama maji mtungini vilevile hawawezi kuvunja mtungi kwani kama wana akili wanajua wanauhitaji sana mtungi ili kuweza kuishi humo ndani. Kuna wakati joto linazidi na baridi inazidi vyote ni vipindi wao wanaita Demokrasia.
mkuu leo umefikiri kwa kutumia masaburi,.jk amefukuzia urais tokea 1995 na kila mtu alilijua hilo na wakamchagua kwa kishindo,lakini chini ya miezi 6 aliiharibu nchi beyond repair!!!!miaka yote mitatu unataka kumjua mtu kuhusu mambo gani?miezi mitatu ya kampeni inatosha kuchimba habari za mtu na kumfahamu vizuri...labda wewe hiyo miaka mitatu unataka kujua kama mgombea aliendelea kukojoa kitandani hadi miaka mingapi!!!!Haswa mkuuu. Wanaotaka urais wajitokeze mapema tuwafahamu. Tuanze kuwasoma na kuwapima taratibu siyo ati wanajificha na kusema mchakato bado. Ukiwa umebaki mwezi mmoja ndio wanajitokeza matokeo yake tunaweza kuchagua mtu asiyefaa kwa kuwa tu katufanyia surprise. Eti ukijitokeza unahatarisha mshikamano ndani ya chama! Ina maana watu ndani ya chama hawajui kwamba kuna urais 2015? Hii ni akili ya mbuni kuficha kichwa kwenye mchanga wakati mwili mzima upo hadharani.
Yaani maara hii Mbowe amekuwa Mzee? Ndio maana wenye busara wanasema kutangaza nia ya kugombea Urais sasa ni kutengeneza makundi ndani ya Chama. Leo Habib Mchange kaandika makala ndefu sana kwenye gazeti la Raia Mwema akimnadi na kumtetea Zitto, Kitila Mkumbo naye katoa msimamo wake (sijui kama amemtetea pia au la) na baadae Mchange kamnukuu Kitila Mkumbo na kuweka kwenye ukurasa wake wa facebook. Haikuishia hapo ZZK naye kaandika kuwajibu kwa pamoja Mayage S. Mayage, Mbwambo na Chahali akilalamika kwamba makala tatu za toleo lililopita zilimlenga yeye. Bahati mbaya leo makala tatu pia kwenye gazeti hilo hilo leo zimmtetea yeye....Makundi!!!! Zitto kama binadamu na kama Mwanasiasa aneweza kuwa na nia dhabiti ya kusukuma mbele gurudumu la mabadiliko lakini hofu yangu ni wafuasi wake. Wapo wanaodhani Zitto lazima awe Rais kupitia Chadema jua liwake mvua inyeshe. Hawa ni hatari kuliko ukoma na watanzania hatutawasamehe wakisababisha CCM ishinde mwaka 2015
Yaani maara hii Mbowe amekuwa Mzee?
Ndio maana wenye busara wanasema kutangaza nia ya kugombea Urais sasa ni kutengeneza makundi ndani ya Chama. Leo Habib Mchange kaandika makala ndefu sana kwenye gazeti la Raia Mwema akimnadi na kumtetea Zitto, Kitila Mkumbo naye katoa msimamo wake (sijui kama amemtetea pia au la) na baadae Mchange kamnukuu Kitila Mkumbo na kuweka kwenye ukurasa wake wa facebook. Haikuishia hapo ZZK naye kaandika kuwajibu kwa pamoja Mayage S. Mayage, Mbwambo na Chahali akilalamika kwamba makala tatu za toleo lililopita zilimlenga yeye. Bahati mbaya leo makala tatu pia kwenye gazeti hilo hilo leo zimmtetea yeye....Makundi!!!! Zitto kama binadamu na kama Mwanasiasa aneweza kuwa na nia dhabiti ya kusukuma mbele gurudumu la mabadiliko lakini hofu yangu ni wafuasi wake. Wapo wanaodhani Zitto lazima awe Rais kupitia Chadema jua liwake mvua inyeshe. Hawa ni hatari kuliko ukoma na watanzania hatutawasamehe wakisababisha CCM ishinde mwaka 2015
hivi Habib Mchange mbona huwa hampendi Dr.Slaa?
hivi Habib Mchange mbona huwa hampendi Dr.Slaa?[/QUOTE
Si unajua Dr Slaa na rushwa ni mbingu na nchi? Sasa dogo alitembeza MPESA halafu Mzee akamuumbua na kumfutilia mbali. Hili nadhani dogo hatasahau maisha yake yote na si ajabu akigombea tena Slaa Urais dogo na watu wake watapigia kura CCM
Ha ha ha Mkuu Pasco,Mkuu SG8, hii kauli imenistua kidogo!, unamaanisha wale watakaosababisha CCM ishinde tena, Watanzania hatuta wasamehe?, hao watakaipa ushindi hiyo CCM jee watakuwa ni kina nani?.
Wakati tukijiandaa kutowasamehe watakaosababisha CCM ishinde mwaka 2015, jee tutawafanya nini hawa ambao tangu leo wanatamka wazi kuwa ili Chadema ishinde 2015, ni lazima ifanye a,b,c,na d!, na kutoa angalizo, isipofanya hivyo , 2015 ni CCM tena!. Mpaka sasa, Chadema bado haijafanya, wala haijaonyesha kufanya!. Ikitokea ni kweli 2015, CCM ikashinda tena kwa sababu Chadema haikufanya a,b,c,na d, itamaanisha, waliofanya CCM ishinde tena 2015 ni Chadema, jee hao nakuuliza mkuu SG8, jee mtawafanya nini hawa Chadema wataosababisha CCM ishinde tena 2015?.
By the way nimelipenda sana lile jina la utangulizi la rais wa ...Ford wa Marekani, just curious what does "S" stand for?.
P.
Ha ha ha hapa ndio ulipoishia katika kufikiri kwako? Kama ndivyo basi nchi yetu ina safari ndefu sana...Baada ya ushirikina kinachofuata kwenye akili ya Mtanzania ni Uzinzi yaani ngono... Tutasubiri miaka mia kupata mabadiliko ya kweli lukatonylabda mambo ya uzinzi wa padri,huwezi jua bana!!!!!!!!
time for Operation sangara.
tuna kampeni za uchaguzi all over Tanzania,kindly can you bring the same kind of topics??????
Tumewasikia,tumewaelewa.Basi tupambane kumuandalia mazingira.otherwise hata hizo ndoto zenu zitakuwa za alinacha.
Greetings.