The Washington Post: Tz Democracy dies in darkness

hoja hapa ni nini ?
 
Magufuli alisema ndugai awashulikie ndani ya bunge yeye atawashulikia nje ya bunge.
 
Bado Fox News, CNN, nk kila mara nilikuwa najiuliza hizi media kubwa za mabwana huwa hazioni lo lote la kuripoti huku? Kumbe viroba vyao vilikuwa havijaguswa.
Ugua pole kamanda Lissu na naamini utapona ili wabaya wetu waumbuke.
 
Ukiona gaziti hilo limeandika Habari zako, ujue na wewe wanakutumaga kitu cha kufanya.
 

Kenge mmoja
 

The story is about criminal incident, heading is about democracy. This is what Lissu calls 'professional rubbish'
 
Obama angekuwa bado whitehouse angerkuta CIA watusaidie kukamata hawa wauwaji. Ila Trump is careless about Africans and moreover he hates then. Kimoyomoyo anasema, "waache wafu wauwane"


[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.

Aisee, una mawazo mazuri sana ya kitumwa! Wewe ni mtumwa mzuri sana, mtumwa muaminifu kwani unaamini utumwa ndio majaliwa yako
 
Nashukuru kwa comments zako na mtazamo wako.
My point here is CRYSTAL clear that NOTHING is shrinking. How and why did I arrive to that narrative? Here is the reason.

The issue of INSECURITY should not be blown out of proportion to the detrimental of our beloved country I'm not saying that there are none.

However those are ISOLATED incidences.
Should we COMPARE Tanzania and the USA in TERMS of INSECURITY, Tanzania is not near EVEN an inch.CRIME PRONE cities in the US are many. Like
LA,
CHICAGO
NEW YORK etc.
Your likelihood of being SHOT or MUGGED in those cities is 99.99%.
With those statistics you gotta agree with me that we are FAR FAR MUCH BETTER.
Even better than JOHANESBURG in SA.

Having said that I am not an APOLOGIST of anyone but I comment what I think is right and CREDIBLE information as far as maisha yetu yalivyo mazuri.

YES CRIMINAL acts are some of the challanges any country faces. But to SINGLE out Tanzania is UNFAIR!
 
Bado Fox News, CNN, nk kila mara nilikuwa najiuliza hizi media kubwa za mabwana huwa hazioni lo lote la kuripoti huku? Kumbe viroba vyao vilikuwa havijaguswa.
Ugua pole kamanda Lissu na naamini utapona ili wabaya wetu waumbuke.

Hawana muwakilishi wa habari za Tanzania. Huyo Domasa aliyeripoti hii habari kwa Washington post kabla haijaongezewa chumvi na mtoa posti nadhani ni mtanzania. Kuna habari zake kwenye ITV na Guardian.
 
hoja hapa ni nini ?
Hoja ni kujibu kuwa hamna kitu klicho SINYAA. Uhalifu uko kila mahali. Na uhalifu aliofanyiwa TL unahitajika kulaaniwa na kila mpenda amani. Na si KULAUMU kiongozi wa nchi.
Naona umenipata.
 
I have perused today's paper and unfortunately couldn't find the article, pls assist with the link. It's worth while keeping the article as record
 
Nakubaliana nawe sisi wote ni WALINZI wa AMANI. Na kama kuna UVUNJWAJI wa sheria basi MAHAKAMA ziko na kazi yake ni kutafsiri sheria inasema nini.
Badala ya kulaumu laumu tu. Hamna yeyote ALIYE JUU ya sheria maana sheria ni MSUMENO.
 
Ahsante mkuu.
Ila nataka niseme kuwa hawa wanaoitagwa ma CARTELS ni wabaya sana wanaweza kufanya CHOCHOTE. Hasa wakiona mkate wao wa UFISADI umeingia mchanga!
TAFAKARI hilo mkuu.
 
Amani Tanzania haipo tena. Kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani ni kauili ya Jana iliyokwishapitwa na wakati.

Subirini kitabu kitatoka hivi karibuni: From Light to Darkness.
 
hakuna kitu ntafurahia kama kukamatwa kwa hawa `magaidi' maana hakuna namna nyingine itabidi watupe `ubuyu' wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…