Hoteli kubwa zote zinatupa mafuta yaliotumika kama movenpick,Kempeski e.t.c. najuwa wewe hutaliunga mkono kwakuwa itaingilia biashara ya waarabu majirani zako K'koo kina Nahdi na Bahashwani hahaha!Huyo bora alivyopigwa stop, ulisikia hoteli ipi Tanzania inabadilisha mafuta yaliyokwisha tumika? Bado hatujafika huko.
Real amising!
The 21-year-old mechanical design graduate, from China Designer Yuhan Zhang created the Volkswagen Aqua, Yuhan Zhang said: There is no better form of transport than an air cushion vehicle because it travels equally well over land, ice, and water.
jamani dogo ana miaka 21 tu!!!!! amefanya mambo makubwa kama haya
![]()
![]()
![]()
The Aqua offers an insight of futuristic vehicle powered by hydrogen and propelled by impeller.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
read more Inventor creates 'Volkswagen Aqua' car that can cross water | Metro.co.uk
faizfoxy dada yangu kumbuka tz inasifika kama nchi ya amani lakini unajua hiyo amani inayomaanishwa hapo? kwa kifupi watanzania wamejengewa nidhamu ya uoga.ila ipo siku hiyo amani wataikataa na kudai haki.Muda wa udaku JF unao? Kama huna muda Tanzania basi hutopata muda kwingine kokote, unafikiri huko nje ya Tanzania mikate inawadondokea na hawaendi kuitafuta? Unanchekesha!
THT naona wao na muziki tu.mengine no!!hehehehe kama THT ...