The universe and origin of man

Mkuu nakubalina na wewe uwepo wa intelligent designer lakin swali linakuja yeye alitokea wapi je kama intelligent designer alikuwepo tu kwanin sisi less intelligent tusiwe tulitokea tu kama yeye kwanini rule itumike kwa upande mmoja na isifae kwa upende wetu.
Mkuu na Kama kuna intelligent designer aliemuumba less intelligent designer maana yake yupo super intelligent designer alie muumba huyo intelligent designer and that goes back to infinity.
 
Mkuu na Kama kuna intelligent designer aliemuumba less intelligent designer maana yake yupo super intelligent designer alie muumba huyo intelligent designer and that goes back to infinity.
duh huo ndio mtego mkubwa kumpata wa mwanzo nani.
 
Dunia iliumwa na tunaemanishwa na kumuani ni MUNGU japo maana halisi ya ilo neno mungu mimi sijalifaam bado mpka sasa,

lakini pia kwa hawa wenzetu hawa waliotufananisha au kudiliki kusema kuwa tulitokana na nyani hawa scientist wao wanadai hivi..

hapo zama za kale juu angani kulokuwako na gimba moja kati ya mabilioni ya magimba likielea angani kama iwavyo kawaida yalivyo..gimba ni asteroids..

Sasa basi kwa hali hiyo kulitokea nyota moja kupasuka au kulipuka kwa kuwa iliisha muda wake kwa madai hata dunia itafikia mwisho na kupasuka pia..sasa basi nyota hiyo ilipopasuka ilikuwako karibu na gimba moja kubwa karibu yake hivyo mapande kadhaa yakafanyika kuungana na gimba lile lililo karibu,ukafanyika mvutano mkubwa vile vipande vikaliganda gimba lile vyoote na kufanya lile gimba kuanza kufanya movement ya kasi kutokana na uzito ule uliozidiwa nao kwa kugandwa kwa vipande vya nyota ile iliyopasuka...


Likabiringika huku na huko likiwa na ushiko mkali wa moto na kufanya mvutano mkuu wa chochote kilichopo jirani yake na kila movement ilizidi meza vipande kadhaa vya magimba mengine na kuumba kitu mithili ya tufe ambapo hapo sasa ikatulia katika solar system...baada ys hapo gimba lile likanyeshewa mvua zenye ujazo wa hali ya juu na zenye kutokuwa na kimo baasi hapo ikachipuka miche na kukafanyika baadhi ya wanyama wa majini n.k....


Hiyo ni nadhalia ya kisayansi sasa sijui tunalishana matangopori au ni nini nitarudi kwa vipengele vingine....
 
Back
Top Bottom