League ya Spain ni kweli inauwiano mbovu katika timu kubwa na ndogo -- lakini league ya epl ambayo inauwiano nafuu baina ya timu kubwa na ndogo "... ndio league ambayo inaongoza kufungwa mara na team za Spain ambazo hazina uwiano sawa ... mkuu unaweza kujua sababu ni nini "!?,Ninachokiona ligi ya spain ina uwiano mbovu sana kati ya timu kubwa na timu ndogo.....
Tumuombe messi akajaribu soka kwengine.... tangu ana miaka 13 mpaka umri huo yupo kwenye club hiyo hiyo.... barca ni messi na messi ni barca.... ana kipaji kikubwa sana, lakini mfumo wa barca unamnufaisha pia.
Kitu kimoja kwa ronaldo ambacho ni kikubwa sana kuweza kukabiliana na mikimiki ya huyu messi... bila ronaldo messi angekuwa ametamba kwa miaka 10 bila upinzani.... Neymar, Hazard wamefeli kuwa kwenye kiwango cha hawa jamaa.... mpira sio tennis kwamba utashindanisha wachezaji kwa kigezo cha one on one.....
Kutokana na aina ya uchezaji wa barca Ronaldo angelichezea timu hiyo angefanikiwa zaidi kuliko sehemu zote alizopita.... kucheza na akina oshea sio jambo rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa itakuwa umerogwa sio bureHakuna mchezaji Kama Ronaldo na atakuja kutokaea.OVER
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
HahaHujawahi kuona benzima alifunga Ronaldo kwa wivu,akaonyoosha mkono kuwa ni offside na ni team mate wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa amerogwa sio bureMzee baba unajua maana ya Champions league? Ili ni league linalo kutanisha team bora katika league kuu wala hakuna haja ya kuhama hama leagues ili uwe mkali, maana mtu ukiweza kuzicakaza team zinazo chukuwa nafasi za kwanza katika league flani, ivi unaweza ukashindwa kuceza league hio? Be serious mzee baba aca ku compare kama mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa my foot ..ronaldo kaweka lini record ya Guinness hebu weka hapa referenceRecord ya Guinness inasema itachukua miaka isiyojulikana kutokea mchezaji Kama Ronaldo
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Thamani ya Messi ni kubwa kuliko Liverpool ...so anacheza katika timu ya hadhi yake . Kumtaka Messi aikache barca halafu aende Liverpool ni sawa na kumtaka bakhresa ahame masaki halafu aende kuishi vingunguti .... hao wachezaji wa Liverpool wenyewe kwa hivi sasa ni ndoto ya maisha yao kusajiliwa na barca ..so messi anaanzaje kwenda kuichezea club kama hiyo !?Uwezi kumpima champion kwa kuwa na mwali mmoj aende lipuli FC akafumuliwe eboooh.
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
HahaKuna watu wanasababu za kijinga eti wanadai Messi sio bora sababu kacheza ligi moja tu,wakati wanasahahu PELE ndiye mchezaji bora wa muda wote amecheza SANTOS kwa miaka 18,miaka miwili ya mwisho kaenda kuimalizia US.
Hiyo 'Unataka ulipwe kama Messi' ni chumvi umeongeza mkuu.mkuu wewe naona huna akili kabisa akafanye nini uko na ndo maana ronaldo alipokuwa anataka aongezew dau real madrid za kunyapia nyapia aljibiwa ivi KAMA VIPI SEPA UNATAKA ULIPWE KAMA MESSI
How.Miaka kumi nane SANTOS kaenda marekani kishazeeka ni sawa na kucheza ligi moja tu.Eboooh Pele kacheza ligi zaidi ya moja case closed
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
La purga kafunga 80% team za EPL alizokutana nazo!!..
Mijitu mingine bwana Eti "ili tujuwe bora aende akacheze ligi ingine" wewe kama nani unasema hivyo!!!!!!! haya ni maneno ya mkosaji, hayana maana yeyote....wivu unawasumbua nyie viumbe...
King Lionel Messi against English teams in the Champions League: 22 goals, 6 assists. More than teams from any other country.....
EINSTEIN112 Ebu wawekee na records zake alivyozinyanyasa tim za uingereza...
Hivi La Purga zile assist angezuia kwake leo huu ubishi ungekuepo!?.. Tatizo analofanya Mfalme mpaka hawa kinamama wanaongea hovyo sio mchoyo, angekuwa mchoyo kama cristina leo tungekuwa tunaongea lugha moja!..Sio kweli acha uwongo .. messi huwa ana waachia mpaka wenzake wapige penalty .. mwenye hiyo tabia ni cr7
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa bwana sijui wana matatizo gani ...yaani huwa wana teseka mnoo na uwezo majaaliwa wa Lionel MessiHivi La Purga zile assist angezuia kwake leo huu ubishi ungekuepo!?.. Tatizo analofanya Mfalme mpaka hawa kinamama wanaongea hovyo sio mchoyo, angekuwa mchoyo kama cristina leo tungekuwa tunaongea lugha moja!..
Visingizio tu hivyoNinachokiona ligi ya spain ina uwiano mbovu sana kati ya timu kubwa na timu ndogo.....
Tumuombe messi akajaribu soka kwengine.... tangu ana miaka 13 mpaka umri huo yupo kwenye club hiyo hiyo.... barca ni messi na messi ni barca.... ana kipaji kikubwa sana, lakini mfumo wa barca unamnufaisha pia.
Kitu kimoja kwa ronaldo ambacho ni kikubwa sana kuweza kukabiliana na mikimiki ya huyu messi... bila ronaldo messi angekuwa ametamba kwa miaka 10 bila upinzani.... Neymar, Hazard wamefeli kuwa kwenye kiwango cha hawa jamaa.... mpira sio tennis kwamba utashindanisha wachezaji kwa kigezo cha one on one.....
Kutokana na aina ya uchezaji wa barca Ronaldo angelichezea timu hiyo angefanikiwa zaidi kuliko sehemu zote alizopita.... kucheza na akina oshea sio jambo rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukumbuke hapa hoja ni mess na Ronaldo kwenye kuchukua U.E.F.AHiyo ni team performance sio individual performance jua kutofautisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha timu tofauti na real Madrid mbona kichwa majiRamos, modric, mercelo,...... Au uelewi tunapozungumzia kuhusu individual na team
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapigwa za kutosha Hadi kaona aibu eboooh akalale
Tengua kauli mjinga mkubwa gay mwenyewe shubamit eboooh msieeeew.Mkuu naomba takwimu za head to head kati ya King LEO na Gay Ronaldo in all comptition
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmmmmmh ahaaaaaaaaah danganya ambao awaangalii mpira hila sio Mimi,nasema tena utakula BAN kwa herufi kubwa ukiendelea ujinga wako wa takwimu za uongo ebooohMESSI RECORDS RONALDO
MESSI WORLD RECORDS
Only player in history to score 40+ club goals in 9 consecutive seasons (2009/10 - 2017/18)
Most FIFA Ballon d'Or awards: 5 (shared with Cristiano Ronaldo)
Most appearances in the FIFPro World XI: 11 times (2007-2017) (shared with Cristiano Ronaldo)
Only player to score in 6 different club competitions in a season twice: 2011/12 and 2015/16
Only player to score in 6 different club competitions in a calendar year twice: 2011 and 2015
Only player to score and assist in 6 different club competitions in a calendar year: 2011
Most goals scored in Club World Cup Finals: 4 goals (shared with Cristiano Ronaldo)
Most appearances in the top 3 candidates for the Ballon d'Or: 11 times (2007-2017)
Guinness World Records title for the most official goals in a calendar year: 91 goals (2012)
Most goals in a calendar year (including club friendlies): 96 goals (2012)
Only player to have scored at three Club World Cups: 2009, 2011, 2015 (shared with Cristiano Ronaldo)
Most consecutive league matches scored in: 21 matches (33 goals)
First footballer ever to score consecutively against all teams in a professional league
Youngest player to win 2 Ballon d'Or awards: 23 years, 6 months and 18 days.
Youngest player to win 3 Ballon d'Or awards: 24 years, 6 months and 17 days.
Youngest player to win 4 Ballon d'Or awards: 25 years, 6 months and 15 days.
Youngest player to win 5 Ballon d'Or awards
Most FIFA Club World Cup Golden Balls: 2 (2009, 2011)
Only footballer to score 60+ goals in all competitions in 2 consecutive seasons (2011/12 and 2012/13)
Football KING[emoji146][emoji146][emoji146][emoji146]
Sent using Jamii Forums mobile app