The Undertaker-Retired?

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,101
1,250


 

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,656
2,000
mkuu ni kweli..basi akishasikia kwenye media kuna mtu anamzidi utasikia karudi tena
 

njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,917
2,000
Wakati nacheki ngumi za ukweli UFC ! ... nilimuona kwenye audience na mkewe Michele Mcool
 

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,282
2,000
the father of one daughter...!na mijiguvu yote ile....!

AMAZING!

bottom line:i am one of his funs
 

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
12,604
2,000
RKO (Rand Orton)The legend killer. Namkubali sana anapocheza na The Undertaker,ila najua The Undertaker atarudi tu kuutia chachu huu mchezo
 

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,583
2,000
Taker ni nooma hasa pale zinapozimwa taa halafu from nowhere anaonekana ulingoni hahhaha Taker najua utarudi tuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions
Thread starter Title Forum Replies Date
Amavubi Comrades Never Retire Jamii Photos 8

Similar Discussions

Top Bottom