najua mirungi inakuchanganya, hatuwez hangaika na ujinga kama huu, nadhan mtoa post hajitambui, source unatuwekea magazeti ya udaku unajitambua kweli? any way, i gues you want to enjoy yourselfe this evening, oky go on,,,
sheria imeshasainiwa, kama watazuia misaada yao wazuie tu, hii n chi huru hatuwez pangiwa. binafsi cjaona ubaya wa hiyo sheria ya takwimu na mitandao, haija mzuia mtu uhuru wake, ila imeweka utaratibu wa matumizi ya takwimu na matumiz bora ya mitandao. nawasihi watz somen sheria na kupata ufafanuz badala ya kuaza kulaum na kulalamika tu. sheria imeshapitishwa na inaaza kutumika tar1 july, 2015. tuache kupotosha
This guy is from which kind of country. Nakubaliana na watu kuwa ukiwa mwana ccm hata wakiweka sheria ya kuua wazazi wako utasema iko sawa, ili mradi haikui wewe. Kumbuka leo inamchinja ndugu yako au mtoto wako uchungu utausikia tu wewe furahi na kisema haoni ubaya wowote.
Ukitumiwa kitu chochote bila ridhaa yako ni kosa !!!
Ukoo wa panya baba mwizi mama mwizi mtoto mwizi period!
hakuomba chakula kwa obama, nahisi ulimnukuu vibaya, aliomba wasaidie kuboresha kilimo kama vile kujenga maghala ya kisasa ili tuhifadhi mazao kwa mda mrefu
Kuna wakati tuache ku-ekzajireti vitu vidogo kwa nia ya kufifisha ujumbe uliokusudiwa....Tanzania Yavuliwa nguo na magazetu ya MAREKANI kwa muswada wa mitandao
ndo kitu gani hicho??
Mkuu, yaani bila aibu Marekani aje atusaide kujenga maghala ya chakula? wewe unapindua hotuba ya mkuu wetu wa nchi wapi alisema watujengee maghala ya chakula? kwa uelewa wangu hayo ni madogo tunaweza wenyewe watusaidie kwenye mambo magumu km kweye technologia, miundo mbinu na uwekezaji kwenye viwanda.
NIPE SAMAKI NITAKULA SIKU MOJA, LKN UKINIFUNDISHA KUVUA NITAKULA DAIMA.
kama unafuatilia habari hiv karibun wawekezaj kutoka(kati ya nchi za asia au ulaya) nmesahau kidogo, walitangaza nia ya kuja kuwekeza ktk uhifadh wa mazao ya nafaka kwa kujenga maghara ya kisasa, hii inahitaji teknojia kubwa sio kama maghala unayoyafikilia ww, tz tunatatizo la uhifadh wa mazao, mazao mengi yanaharibika kwa mda mfupi kutokana na mfumo duni wa kuhifadhi mazao.
Msiwe mnachangia vitu msivyovielewa. Hivi hali ili yokuwa ya kutisha kuhusu usalama pesa zenu, maadili na uholela wa kuongea kwenye mitandao unasema mswada kwa nini upelekwe kwa hati dharula. Hebu acha kukurupuka tafakari kwanza kabla ya kusema. Heko mliopitisha mswada huu na kuwa sheria. Kama una hoja karibu ulingoni.Ok, sijitambui. washington post siyo udaku wewe. hata km ingekuwa ni udaku ukweli ni kwamba gazeti limetoa repoti ya kinachozungumzwa. kwaani ni uongo mswada haukuwa wa dharula? kuna tatizo gani mpaka kuwe na udharula hiyo mpaka vikao vya usiku? km siyo woga wa CCM kuandikwa kwa uchafu wake kuelekea uchaguzi mkuu octoba? hii ni janja ya kutaka kutuziba midomo, sasa nje nao wazibeni midomo.
Msiwe mnachangia vitu msivyovielewa. Hivi hali ili yokuwa ya kutisha kuhusu usalama pesa zenu, maadili na uholela wa kuongea kwenye mitandao unasema mswada kwa nini upelekwe kwa hati dharula. Hebu acha kukurupuka tafakari kwanza kabla ya kusema. Heko mliopitisha mswada huu na kuwa sheria. Kama una hoja karibu ulingoni.
Good job. Our activists and the local media are strangely silent on this. It is us here at jamiiforums who are making noise on these unfair legislations, except for just a handful of people, no one else is supporting us out there.
Then you would say the Law is operational, it was intended to silent them..now they are silent. Faiza Fozy will cheeer.
Huu si muswada wa takwimu ndugu. Ni wa Cyber Crime. Hiyo siingiliiHata sisi hatukatai kila kitu kilichomo muswada ni mzuri lkn kuna mambo ya kuchuja, mfano soma hapa chini unasemaje kuhusu hilo.
Kutoa taarifa za Uongo:
16.- Mtu yeyote anayetoa taarifa, data au maelezo kwa njia ya picha, maandishi, alama au aina nyingine yoyote taarifa, data, kwenye m fumo wa kompyuta, endapo au maelezo hayo ni ya uongo, yanapotosha au yasiyo sahihi, atakuwa ametenda kosa, na akipatikana na hatia atalipa faini isiyopungua shilingi milioni tatu au kutumikia adhabu ya kifungo kisichopungua miezi sita au vyote.
Soma https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...o-sahihi-kuhusu-sheria-ya-takwimu-2013-a.htmlSafari hii wakati unapelekwa ulipelekwa chini ya hati ya dharula sasa sijui ilikuwa ipi hyo
Msiwe mnachangia vitu msivyovielewa. Hivi hali ili yokuwa ya kutisha kuhusu usalama pesa zenu, maadili na uholela wa kuongea kwenye mitandao unasema mswada kwa nini upelekwe kwa hati dharula. Hebu acha kukurupuka tafakari kwanza kabla ya kusema. Heko mliopitisha mswada huu na kuwa sheria. Kama una hoja karibu ulingoni.