Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,642
- 2,760
Na huo ndio ukweli mchungu,donors wote huja mbogo pindi tu maslahi yao yanapopuuzwa au kufungwa,tazama uhusiano wa USA & allies dhidi ya Saudi Arabia,hawasemi kitu kuhusu haki za wanawake,raia,democracy wala transparency kwa kuwa wanafanya biashara ya mafuta na mfalme hana kwere nao basi mambo mkide,Iran,Iraq,Syria etc wana mashariti magumu na oil,kuchwa vita na migogoro na propaganda hasi!!!
kweli kabisa mkuu,nimeona leo saudi arabia wanatangaza nafasi za wachinjaji nane,watu wote kimya