Lilambalyakwilole
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 1,100
- 649
sheria imeshasainiwa, kama watazuia misaada yao wazuie tu, hii n chi huru hatuwez pangiwa. binafsi cjaona ubaya wa hiyo sheria ya takwimu na mitandao, haija mzuia mtu uhuru wake, ila imeweka utaratibu wa matumizi ya takwimu na matumiz bora ya mitandao. nawasihi watz somen sheria na kupata ufafanuz badala ya kuaza kulaum na kulalamika tu. sheria imeshapitishwa na inaaza kutumika tar1 july, 2015. tuache kupotosha

Rais amewajibu wahisani kuwa iwapo watalazimisha nchi ataikataa misaada yao. kwa kuwa Rais wetu anajua kuwa msaada wa word bank kwenye mambo ya takwimu siyo muhimu sana km misaada ya maendeleo au kwenye afya. basi Rais wetu awaambie wamarekani kuhusu misaada yao ya PEPFAR na MCC wasitoe.
Kaka nakushukuru kwa kuona umuhimu wa sheria ya Takwimu ya 2013. Kumbuka muswada wa Takwimu haukukimbizwa, kwa mara ya kwanza ulipelekwa Bungeni 2013.Ni sawa sheria imepishapitishwa kwa kusainiwa na Rais na ni kweli kuna baadhi ya mambo ni mazuri km sheria ya kumtaka mtu kutoa taarifa za takwimu e.g wkt wa sensa watu kugoma au kuia watu kushiriki na nk, lkn kuna mengine siyo sahihi, naomba utujibu maswali haya kwa kifupi;-
1. kulikuwa na sababu gani ya kuukimbikiza mswada
2.Wewe ukinitumia ujumbe mbaya kwa nini mimi nishtakiwe? me nikiona ujumbe mbaya si nitaufuta.
Ok, sijitambui. washington post siyo udaku wewe. hata km ingekuwa ni udaku ukweli ni kwamba gazeti limetoa repoti ya kinachozungumzwa. kwaani ni uongo mswada haukuwa wa dharula? kuna tatizo gani mpaka kuwe na udharula hiyo mpaka vikao vya usiku? km siyo woga wa CCM kuandikwa kwa uchafu wake kuelekea uchaguzi mkuu octoba? hii ni janja ya kutaka kutuziba midomo, sasa nje nao wazibeni midomo.
Najivunia serikali yangu sikivu,kama imeshindwa kutusikiliza sisi ngoja wahisani nao waseme je watasikilizwa? Hii post ni kwa HISANI YA WATU WA MAREKANI
Bravo Mr.President...mambo yetu ya ndani wanayatakia nini??hata kama tunauwana inawahusu nini..wao kama wanajiona wanatujali mbona hawaji kutasaidia mafuriko mabondeni..tena Mh.Rais nakuomba usiende tena huko kwao wawekee mgomo.... tuone kama hawakuomba msamaha
Kaka nakushukuru kwa kuona umuhimu wa sheria ya Takwimu ya 2013. Kumbuka muswada wa Takwimu haukukimbizwa, kwa mara ya kwanza ulipelekwa Bungeni 2013.
Siwezi kujibu masuala ya sheria ya mtandao ila hii ya Takwimu haizuii mtu au hata gazeti kuhoji takwimu za NBS. Hii inazuia kupotosha umma kwa kutumia takwimu zilizotolewa na NBS KWA MAKUSUDI na wala si kwa bahati mbaya.
Kaka nakushukuru kwa kuona umuhimu wa sheria ya Takwimu ya 2013. Kumbuka muswada wa Takwimu haukukimbizwa, kwa mara ya kwanza ulipelekwa Bungeni 2013.
Siwezi kujibu masuala ya sheria ya mtandao ila hii ya Takwimu haizuii mtu au hata gazeti kuhoji takwimu za NBS. Hii inazuia kupotosha umma kwa kutumia takwimu zilizotolewa na NBS KWA MAKUSUDI na wala si kwa bahati mbaya.
sheria imeshasainiwa, kama watazuia misaada yao wazuie tu, hii n chi huru hatuwez pangiwa. binafsi cjaona ubaya wa hiyo sheria ya takwimu na mitandao, haija mzuia mtu uhuru wake, ila imeweka utaratibu wa matumizi ya takwimu na matumiz bora ya mitandao. nawasihi watz somen sheria na kupata ufafanuz badala ya kuaza kulaum na kulalamika tu. sheria imeshapitishwa na inaaza kutumika tar1 july, 2015. tuache kupotosha
Anayoyasema siyo uhalisia; soma alivyokuwa akimwomba Rais obama alipokuja Tanzania
Rais Kikwete amempongeza Rais Obama kwa kuendelea kuiunga mkono Tanzania na Afrika, lakini akataka Marekani kuunga zaidi juhudi za Tanzania katika jitihada za kufuta umasikini, kuhakikisha kuwa kuna chakula cha kutosha katika Afrika kwa kuunga mkono jitihada za kuboresha kilimo, kuendelea kuunga mkono jitihada za kuboresha elimu na hasa ile ya sayansi, na kuendeleza mapambano dhidi ya magonjwa ya malaria, ukimwi na kifua kikuu.
Rais Kikwete pia ameutaka uongozi wa Rais Obama kuendeleza na juhudi za kupunguza vifo vya akinamama wakati wa uzazi na kuisadia Tanzania na Bara la Afrika kukabiliana na athari za kuvurugika kwa uchumi duniani.
mbona unatoa taarifa za zaman, umesikia kauli ya raisi ya jana? wtz tunatakiwa kuunga mkono kauli ya raisi, koz ifike time wahisani wasitupangie kila wanachotaka wao. tukiwa na nidham na matumiz tunaweza kujitegemea,

Ukitumiwa kitu chochote bila ridhaa yako ni kosa…!!!
Ardhi yooote tuliyo nayo bado tunataka obama aje kutupatia chakula, maralia tunataka obama atupatie net ya mbu? kuna mambo ya mhimu Rais wetu anaweza kuomba kama kuboresha miundo mbinu ya reli, usafiri ktk jiji la Dar, bandari na uwekezaji kwenye viwanda siyo chakula kwa ardhi tuliyo nayo.