The U.S Needs to Stop Ignoring Tanzania's Media Crackdowns

Najivunia serikali yangu sikivu,kama imeshindwa kutusikiliza sisi ngoja wahisani nao waseme je watasikilizwa? Hii post ni kwa HISANI YA WATU WA MAREKANI
 
najua mirungi inakuchanganya, hatuwez hangaika na ujinga kama huu, nadhan mtoa post hajitambui, source unatuwekea magazeti ya udaku unajitambua kweli? any way, i gues you want to enjoy yourselfe this evening, oky go on,,,

Ok, sijitambui. washington post siyo udaku wewe. hata km ingekuwa ni udaku ukweli ni kwamba gazeti limetoa repoti ya kinachozungumzwa. kwaani ni uongo mswada haukuwa wa dharula? kuna tatizo gani mpaka kuwe na udharula hiyo mpaka vikao vya usiku? km siyo woga wa CCM kuandikwa kwa uchafu wake kuelekea uchaguzi mkuu octoba? hii ni janja ya kutaka kutuziba midomo, sasa nje nao wazibeni midomo.
 
najua mirungi inakuchanganya, hatuwez hangaika na ujinga kama huu, nadhan mtoa post hajitambui, source unatuwekea magazeti ya udaku unajitambua kweli? any way, i gues you want to enjoy yourselfe this evening, oky go on,,,


Nchi yako masikini haiwezi kujitegemea kununua dawa za kutibu wagonjwa achilia mbali net za kuzuia mbu nyumbani kwako na familia yako. sasa wafadhiri watakata tuone kama wewe na familia yako km mtaweza kununua net au panado. Escrow imetikisa kidogo angalia shilingi inavyondoka dhidi ya dora ya marekani.
 
Najiuliza kama hiyo habari ingeandikwa kwenye Pravda, watu wangechekelea kama wanavyochekelea sasa kwa kuwa imeandikwa kwenye moja ya magazeti ya Marekani?
 

Silent dictatorship.
 

unapoteza muda kumjibu huyo mtoto wa mbwa,tangu lini The Washington Post Likawa gazeti la udaku? hakunaga mwana ccm mwenye akili timamu.
 
Uzi mzuri sana. Sijui kama wahusika wamesoma hapo.
 
I see difficulties for ccm mps to read this and understand the context.
 
Where are we going to be placed as a country, where freedom of expression and sharing of information is threatened, and (possibly) stopped!, we're struggling to move forward kimaendeleo and this kind of 17th century laws will keep pulling us up back.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…