Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,315
- 56,318
Tuacheni utani mwanamke bila madoido anapendeza sana wallah.
Kweli mkuu,sema hawajui tuNi kweli, huyu sasa ni mzuri haswa
Kuna kamsemo kasasa hivi kuwa only confident girls ndio wenye short hair......big up kwa wanawake wote ambao hawatumii uzuri wa ziada na vitu bandia.
Tuacheni utani mwanamke bila madoido anapendeza sana wallah.
Shida ni kwamba wengi hawalijui hilo.Kuna kamsemo kasasa hivi kuwa only confident girls ndio wenye short hair......big up kwa wanawake wote ambao hawatumii uzuri wa ziada na vitu bandia.
Rangi halisi haijachakachuliwa na mafisadi ya kichina
Nikupe namba mkuuAisee huyo mtoto ni mzuri daaaaaaaaaaaah...ntamtafuta kokote aliko
Unatafuta ugomvi na mleta post.........Nikupe namba mkuu
Mtoto Mtam Huyu Unateleza Tu Teleza Kwingine Sasa Ulimi Usipopata Kutu Basi Mixing Ya Mikorogo Na Madawa Ukilamba Sukari Husikii Ladha Shida Tupu.
Tuacheni utani mwanamke bila madoido anapendeza sana wallah.
Mtoto wa kike mwenye sura ya kike.
Tuacheni utani mwanamke bila madoido anapendeza sana wallah.
HahahahaMtoto Mtam Huyu Unateleza Tu Teleza Kwingine Sasa Ulimi Usipopata Kutu Basi Mixing Ya Mikorogo Na Madawa Ukilamba Sukari Husikii Ladha Shida Tupu.