The top six best politicians from opposition

Kichwa cha habari na maelezo tofauti kabisa!
kwa kuzingatia kichwa cha habari namba moja mpaka tatu ni dr slaa, nne tundu lissu, tano zitto kabwe, sita j.mnyika, sita, kamanda lema.

kwa kuzingatia maelezo yako
1. Tundu lissu, 2.z.kabwe, 3.j.mnyika, 4, lema, 5, makamba, 6.mdee
 
Naheshimu mawazo yako mkuu mleta mada japo hayawezi kuwafurahisha watu wote, you have a point
 
hivi ni kwei mtu mzima anaweza kukaaa mbele ya keyboard akawaza kupost kitu kama hiki??.. kweli kila mtu ajipostie atakacho.. embu lets go out, tunalo zigo zito mbele, kuitetea ardhi ya nchi yetu na si kuleta ufitini ndani ya viongozi hawa, eti huyu aonekane bora yule zoba.. lets stop this ever..
 
Mkuu wangu Ritz unajua ukweli siku zote ujisimamia wenyewe uongo uhitaji nguvu na jitihada kubwa....Bado kidogo Ngongo ataibuka kidedea.

Where is Kamanda Lema...
 
Last edited by a moderator:
Kama ukimsimamisha Zitto na Lissu, pengine Zitto anamzidi Lissu kwa maswali aliyouliza. Vingnevyo naona Lissu anapaswa kuwa namba moja. Uwezo na ujasiri wake kusimamia hoja zenye maslahi kwa watanzania na chama chake upo mbali sana na hoja za Zitto.
 
Kwa vile umewaacha Dr.Slaa na Lema nakuona. Umepitiwa na majaribu ya shetani

Kwa vigezo nilivyotumia Lema hafiti hata kwenye kumi bora...is a good politician but hayupo well-contented zaidi ya hao niliotaja. Kwa Dr. Slaa hayupo kwenye kundi la vijana kama nilivyoeleza kwenye utangulizi
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Kwangu mimi Dr Slaa hana mpinzani. Wengine wanajikongoja!
Wanasiasa ni waliopo bungeni tu? Kama ni ndio basi mtoa mada kachemka lakini ni sio Dr Slaa ni namba moja kwa kuwaacha mbali sana wenzake akifuatiwa na Tundu Lissu, Zitto, Mbowe, Kafulila, Mnyika, Wenje n.k...
Ok kumbe alilenga wanasiasa vijana!!! well, kwangu mimi Lissu anatangulia kabla ya zitto
 
Best individuals from opposition halafu wote Chadema!

Ina maana vyama vingine havina watu waadilifu na wenye sifa kama ulizopendekaza?

Anyway, pamoja na hayo nadhani wewe umetumwa na magamba kupima upepo kama dr Slaa asipotajwa reaction ya watu itakuwaje.

Au tuseme na wewe unasumbuliwa na ugonjwa wa Slaaphobia. Vinginevyo huwezi ukataja watu makini 6 kutoka Chadema wenye sifa za kuwa rais ukashindwa kuwataja makamanda Slaa na Mbowe!

Note: No.6 ni NCCR-Mageuzi, Dr.Slaa hayupo kenye kundi la vijana (chini ya miaka 50) kama nilivyoeleza...Lema hafiti hata kwenye kumi bora kwa vigezo nilivyotumia..
 
hivi ni kwei mtu mzima anaweza kukaaa mbele ya keyboard akawaza kupost kitu kama hiki??.. kweli kila mtu ajipostie atakacho.. embu lets go out, tunalo zigo zito mbele, kuitetea ardhi ya nchi yetu na si kuleta ufitini ndani ya viongozi hawa, eti huyu aonekane bora yule zoba.. lets stop this ever..

Ni vizuri ukasoma maneno ya utangulizi...
 
Kwa maoni yangu, Tundu Lissu na J J Mnyika wanakamata nafasi ya kwanza. Zitto siwezi kumweka nafasi hata ya tatu kwa kuwa 'Caesar's wife must be above suspicion'.
 
hamna wanasiasa hapo hao wote ni watengeneza mabomu na kuyalipua kwani maswali yao na hoja zao zimeegemea zaidi ktk kujijenga ki siasa kuliko kutatua matatizo ya wananchi wanyonge na watanzania hatujajuwa kupima wanasisa,,
 
Back
Top Bottom