Asubuhinjema
Member
- Sep 17, 2009
- 5
- 0
Sikutambua utamu wa lugha yangu na kiasi inavyoweza kutuunganisha mpaka nilivyokuja kufanya kazi ughaibuni!
Naona wa east africa wakenya, warundi, na waganda wanavyojaribu kutumia kiswahili kama kiunganishi katika jamii yetu ya wageni mbali na nyumbani!
Long live the great mwalimu, whose greatness in terms of thinking knew language breaks barriers of all kinds!