The strength of a woman...

The strength of a woman...

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
A woman struggles to pick up a bag while she balances the load she is already carrying with a baby on her back as captured along Samora Avenue in Dar es Salaam Saturday.
 
Ilove all mamas inze wod,pis tu yu mamaz..
 
Ndiyo maana wale madada tuliosoma nao primary school karibu wote wamezeeka!
 
Mimi nilifikiri unaonesha 'strength' in terms of will power kumbe ni physical strength. Wanawake wanazo sana hizo nguvu - si ndio wao wakulima wakubwa wa mashamba afrika hii?
Huyo kwenye picha ni mzaramo anaenda ngomani ununio!
 
God gave women the talent of multi-tasking!! Wanaume hawawezi kufanya kitu zaidi ya kimoja kwa wakati mmoja, umegundua hiyo?
 
Cha ajabu pengine baba wa mtoto kwa muda huo anachepuka sehemu, sehemu
 
Back
Top Bottom