Ningekuwa H.Tuwa mngeenjoy andiko lakini sina hata robo ya uwezo wa huyo bwana, ila twende hivi.
Late 2009 demu wangu alikuja kwenye working station yangu ndani ya H/Wilaya mojawapo ya Iringa region na nilienda kumpokea pale STAND KUU ya mabasi IRINGA akitokea MBEYA.Alistay for 2 weeks.
Katika kuhakiki uaminifu kabla hajaja nilikuwa namtext heavy sexual SMS na kumsisitiza akija nizione, alipokuja sikuiona hata 1, kumuuliza akaniambia kuna rafiki yake alifuta kwa bahati, moyoni mwangu nilishajua hii kamba na majibu nimepata sasa, time ya kurudi MBEYA tulistay for 3 days in IRINGA TOWN, ndipo hapo kadi nyekundu ilipozaliwa.
Day 1 aliniaga kwenda kumtembelea rafiki yake wa kiume aliyepo RUCO ambaye wanatoka sehemu 1 hivyo kuna maagizo ya kuchukua, ziara hiyo tangu jana yake nilimzuia akawa mbishi na akagoma nisiambatane naye.
Nilimwambia phisically you can go but mentally i don't allow you,basi akaenda na mm nikaanda kadi yake nyekundu aliporudi kwao Mbeya nikamtumia maana niligundua alienda kuchimbuliwa.