The SPY: Series inayoonesha Jinsi Jasusi la Mossad "Eli Cohen" Lilivyowachachafa wa Syria miaka ya 60.

Sasa kwann Israel isiingilie kati jamaa kuuwawa na mkewe anaishi nchi gan saa hz na ilikuwaje akanyakwa
Tuambie usije sema stry itakuwa ndefu
kilichomponza no utumaji taarifa mfululizo huko Israel ambapo wakuu wa usalama Syria waligundua muingiliano wa mawasiliano usio wa kawaida hivyo wakafuatilia yankotokea ndipo walipo mnyaka kitu pekee familia yake ilichoambulia kutoka Syria in SAA ya mkononi
 
Duuh hatari sana
 
Ujasusi bwana unaweza ukawa unafanyiwa vetting na mtu ambaye unamchukulia poa/humdhanii/humfikirii na unaishi nae katika jamii moja na akamaliza kuchota info zako zote na wee ukawa hujui/upo upo/hutambui lolote then ukaonekana hufai/hujatimiza vigezo wakakutosa/wakaachana na wewe na file lako linafungwa pasipo wewe kujua/kutambua nini kilitokea na tayari kimeshapita
 
Ukiachana na movie kama movie huyu Bwana aliwahi kuexist kweli kabisa. Kilichonisikitisha zaidi wakati Wasiria wanamu execute mataifa mengi yaliingilia bila mafanikio, hata papa mwenyewe hakufua dafu. Nime quote hii passage Wikipedia inasema hivi;

“Israel staged an international campaign for clemency, hoping to persuade the Syrians not to execute him. Israeli Foreign Minister Golda Meir led a campaign urging Damascus to consider the consequences of hanging him. Diplomats, prime ministers, and Pope Paul VI tried to intercede. Meir even appealed to the Soviet Union.[4] The governments of Belgium, Canada, and France tried to persuade the Syrian government to commute the death sentence,[17] but the Syrians refused”
 
Nimeitazama aisee ipo njema sana nillipenda sana NARCOS na hii THE SPY nimeipenda mno.
 
Moja ya series bora kabisa Netflix. Binafsi kati ya mengi yaliyonivutia ni aliyecheza nafasi ya Eli Cohen. Jamaa nilijua kama Borat na King Julien (the original). Nilitaka kuona kucheza serious character inakuwaje.

Ukiangalia na 'into the Mossad' documentary, 'Red Sea Diving Resort' movie. Zote zinasaidia kuielewa 'The Spy' na Mossad zaidi.
 
Sacha Baron Cohen.. very fun this guy..
Ref. Madagascar &The dictator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…