The so called STAR OF DAVIDWhich symbols
Ukiwa mteule lazima uonekane mgomvi, alafu unaushinda ugomvi,mwisho dunia inakujua kuwa wewe unashinda kila ugomvi.
Yes uko sahihi, huwezi kuwa mtu wa amani ikiwa umezungugwa na uzao wa Chuki na ulipaji visasiKila mtu huwa yupo alivyo kulingana na malezi,mazingira pamoja na elimu yake
Mbona unaandika kwa hasira sana..Tuliza akili andika vizuri.Nijibu maswali haya.Taifa teule gani hilo, waafrika wenzetu wananyanyaswa na kufukuzwa kabisa,, na isitoshe wanauwa innocent people bila kosa lolote.....wapumbavu tu hao hawana mpya shogas tu
Taifa teule siku zote huleta amani katika nchi za watu, na hutetea wanyonge wanapoonewa....