The Secret Plan For Kigali’s Transport System


Shangaa hapo, hata London sio kwamba wamepiga marufuku bali wameweka tozo maalum. Hawajakataza. Ni uzamani kuamuliana chombo cha kutumia.
 


Asante sana mkuu mchambawima1.

Ndugu zangu MK254 sam999 maswety Jack Daniel's mukuje huku muone nilichokuwa ninakisema hapo awali. LOL
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, you are very wrong here.

Look at the so-called developed cities of the world and their levels of congestion. Do you want us to get there? Kigali is not only a model for Africa BUT the world.

Please let me know if you need more elaboration. I happen to make a living doing this stuff.
 

mkuu si umeona wana-introduce yellow school buses. Nchi zote zilizoendelea wanapeleka watoto wao shule kwa mabasi ya shule - bure.
 
mkuu si umeona wana-introduce yellow school buses. Nchi zote zilizoendelea wanapeleka watoto wao shule kwa mabasi ya shule - bure.
School buses hizo za yellow ziko duniani kote ziwe za kulipia au bure hata Tanzania yellow buses zipo kwenye baadhi ya mashule.Lakini uwepo wa bus hizo hauzuii mzazi mwenye upendo na mwanae kumpeleka kwa gari yake.Hata uingereza mfano tony blair akiwa waziri mkuu bado alikuwa akimpeleka mwanae shule kila siku yeye mwenyewe kwa gari yake pamoja na kuwepo yellow buses kibao!!!

Swala ninalopinga ni kuingilia uhuru na demokrasia ya mtu binafsi kujiamulia aende na gari yake au basi.Mwanae apande gari ya shule au ampeleke mwenyewe? Mfano tanzania mabasi ya shule baadhi ya shule wanayo na nauli inakuwemo kwenye ada ya shule ya kila mwanafunzi.Lakini pamoja na hilo mzazi unakuta hataki mwanae apande gari ya shule pamoja na kuwa kalipa anataka ampeleke na kumrudisha mwenyewe.Ni personal choice.Ninachokataa ni udikiteta wa kulazimishana kwenye ulimwengu wa demokrasia iliyoko sasa.
 


Mkuu, kadri magari binafsi yanavyo ongezeka ndio mafuta mengi yanavyotumika na ndio polution kubwa inavyoongezeka (bila ya kusema muda mkubwa unaopotezwa barabarani) na wale wasioendesha magari mitaani huathirika kwa afya. Kwa kuwa wewe una uwezo wa kumiliki gari hakukupi wewe uhuru wa kunipa mimi msaga lami maradhi ya polution unayoitoa hewani.

Demokrasia!! Wewe mwenye gari unao uhuru (demokrasia yako) ya kuendesha gari lako. Je mimi mlalahoi demokrasia yangu ya kutoathiriwa na moshi wa gari lako iko wapi?

Kama ni usafi wa ndani ya mabasi hilo tunaweza kulizungumzia lakini sio sababu ya kupoteza masaa kadhaa kusafiri barabarani (kwa ajili ya msongo) eti kwa sababu wachache wanataka kukaa kwenye viyoyozi vya BMW zao.
 
mbona uwapeleke shule mbili tofauti?
 

This is shear nonsense. Nunua helikopta umpeleke mtoto wako shule.

Unapoingia barabarani (pamoja na wenzio mnaojiweza) unaleta msongamano unaowaathiri watu wengi sana in terms of delays (time), pollution, and inconvenience. How selfish can you be eti unataka tu kumuendesha little Jimmy to school? Kuna watoto hawana hata kanda mbili za kuendea shule. Wewe ni mTanzania kweli.
 
Mkuu, you are very wrong here.

Look at the so-called developed cities of the world and their levels of congestion. Do you want us to get there?
Fortunately you have answered yourself.There is a colleration between development and cars congestion.Countries with congestion like India,China,etc are among the developed.Why because that shows many people have ability to buy cars and to pay running costs for those cars.

Some of the Benefits of having many cars are as follows:
1) Many spare parts shops will be opened
2)many petrol stations will be opened
3)many car wash services will be opened
4)many garages will be opened

All these will have effects in the economy by increasing government revenue through taxes also will solve the problems of unemployent because many mechanics will be needed in garages,petrol stations,sparepart shops,car wash services etc

Congestion isn`t a big problem, it only increases fuel consumption per kilometer which means more tax to the government per kilometer for each litre of petrol consumed in the congestion.
 
I will respond to your questions within the quotes.

 
Na ni upumbavu ku draw pesa mingi kuweka kwenye mabegi..kwa nn usitumie bank accounts...think big bro
Nafikiri hujamuelewa jamaa alichosema, ka-draw pesa nyingi anaenda kuwalipa casual labourers au ambao unaweza sema anaenda kuwalipa vibarua kwa maana hiyo no access to deposit their payment on their account due to some circumstances,waafrica tunajuana,kwahiyo kuna uwezekano mkubwa sana wa hiyo situation kutokea.

Sasa ku-minimize risk ni lazima utumie private transport.
Sasa nafikiri umeshaona nani anapaswa a-think big
 
Wacha tuendelee kujifunza kisha turudi kwenye uhalisia
 
Duh! Yani kuna watu humu siwaelewi kabisa sasa kama nchi ni ndogo inamaana hata resources zake ni ndogo pia sasa nafikiri Tanzania ingekua zaidi ya rwanda ki maendeleo.
Nani kasema its not the case.., kwani maendeleo ni nini? Kutoka hatua moja kwenda nyingine.., je kasi yenu na yetu ikoje?
 

Absolutely, naunga mkono hoja kulingana na nchi ndogo kama hiyo wanaangalia mataifa makubwa na kuona wanavyohangaika na msongamano wa magari mjini.
Mayor wa jiji la London alileta congestion charges na imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana na bei imepandishwa tena kuingia mjini na flow ya magari ni nzuri,
Kwa kuwa sijafika Kigali siwezi jua ni ukubwa gani wa jiji ambao umepigwa marufuku
Tatizo letu hapa hatutatui tatizo kwa kuiga wengine bali tunaona ni kawaida tu.
 
Uko sahihi
Mfano mzuri una kampuni ya ujenzi inajenga barabara maporini au vijijini nje ya kigali kusiko hata na Mpesa wala Tigo pesa unalipaje vibarua? Si lazima ukachukue CASH kigali kwenye bank yako upelekee vibarua walioko huko porini? Wapate hela ya matumizi huko kwa wanavijiji kama chakula nk? Au hata kama una godown una vibarua wa siku wa kupakia na kupakua mizigo kwenye malori lazima utakuwa unaenda chukua hela
 
Shangaa hapo, hata London sio kwamba wamepiga marufuku bali wameweka tozo maalum. Hawajakataza. Ni uzamani kuamuliana chombo cha kutumia.

Hivi nikiwa na duka la jumla nje ya kigali nikauza nikapata pesa kibao taslimu kwa hiyo inabidi nibebe hela kwenye magunia na kwenda nazo kituo cha basi kisha nipande kwenye basi kwenda kuweka kwenye tawi langu la benki lililokokigali katikati sababu magari binafsi hayaruhusiwi?
Ina maana nitashuka stendi ya basi na gunia langu la hela.Halafu nitajitwika kichwani kwa miguu kwenda kwenye tawi la benki liliko sababu umbali toka stendi ya basi hadi lilipo tawi ni mbali si nitasumbuka sana.
 

Hutakiwi kuleta mifano michache of why that decision is good. Ongelea jambo hili kwa ujumla wake kama nilivyofanya. Anybody can argue kuwa it's better kuruhusu homosexuality kwa sababu gay people hawatengenezi watoto wa mitaani! Utakubaliana na homosexuality kwa sababu ya that single reason?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…