The Search For Trith; Tujadili Hoja Si Watoa Hoja! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Search For Trith; Tujadili Hoja Si Watoa Hoja!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipanga mlakuku, Nov 3, 2011.

 1. k

  kipanga mlakuku Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Nikiwa kama mdau wa mijadala mikali inayoendelea humu JF na Tanzania kwa ujumla nimesikitishwa sana na kitendo cha baadhi yetu kutaka kuchochea vurugu humu jamvini kwa kutaka kutambua majina ya watu. Nayasema haya kutokana na mmoja wetu (Mod utanisadia jina) ambaye bila shaka ametumwa au amejituma kuja kumshushia heshima Mwanazuoni, Mwanaharakati, Mwanamapinduzi,Nguli na Bingwa wa mijadala Mwandishi M.M Mwanakijiji.

  Ikiwa bado mpuuzi huyo hajapigwa ban, basi naomba apigwe ban haraka, na iwapo kwa namna yoyote taarifa hizo za kipuuzi zimemuumiza kwa namna yoyote Mwanakijiji, sisi kama wapambanaji wenzake tunasema "Pole komredi" na Allutacontinua!!!
   
Loading...