Nadhani katika kizazi hiki is one of the genius elite!It's a pity.
Mimi si mpenzi wa magical realism, genre ya Rushdie, ilaRushdie ni mmoja kati ya waandishi wanaojua kuichezea lugha ya Kiingerezampaka ukisoma anavyoandika utafurahi. He is a genuinely intelligent iconoclast.
Kuna siku walikuwa wanakandia habari za dini Bill Maher show, Maher being an atheiist and all, it was almost a boring chorus.
Mimi nikawa najisemeakimoyomoyo, surely they can't all be thinking alike, someone has to come with an alternate view to show a different side.
Surely enough, ikawa kama vile Rushdie kanisikia, akasema yeye anapenda Rastafarians wanavyoamini Mungu wao kivyao vyao tofauti na Ukristo mainstream, ni dini, wanaaminiMungu, lakini kiselasela tu.
why? kwa kosa gani?Huyu jamaa angeshikwa siku moja nahisi angechunwa ngozi mzima afu apigwe risasi huku ananyongwa na kunyweshwa maji ya betri
Never, huyu ni genius katika kizazi cha leo. kama wewe ni msomi angalia post #18ila nikikubwa..afu ujinga mtupu humo ndani
naona unagawa u-genious kijingajinga tuNever, huyu ni genius katika kizazi cha leo. kama wewe ni msomi angalia post #18
N goja nikuachie size yako , kumbe naongea na takataka....... "genious" ndiyo kitu gani. Kwaheri.naona unagawa u-genious kijingajinga tu
Vitabu vya mashetani unakuwa navyo ili nini mkuu??[emoji32][emoji32][emoji32]Uploaded
Vitabu vya mashetani unakuwa navyo ili nini mkuu??[emoji32][emoji32][emoji32]
Wewe umeanzisha Uzi huu ukiwa Nchi ipi ambayo imepitisha Sheria hiyo?Hivi ile sheria ya kumuua mwandishi wa kitabu cha aya za shetani na yeyote atakayeonekana nacho bado ina mantiki? Maana kwa sasa kipo mitandaoni. Na je ni haki kumuua msomaji anaetaka kujua ndani kuna nini??!
umehamia kwenye spelling..hoja umeishiwa..inaelekea elimu yako ndogo ndomana bado unakazania spelling..N goja nikuachie size yako , kumbe naongea na takataka....... "genious" ndiyo kitu gani. Kwaheri.
Ameandika kiingereza kigumu sana. You need to be well enough conversant with English to make sense out of it!Kitabu kinahusu wanaume wawili walioshika dini ya Kislam wakiwa wanachanganywa na maisha na tamaduni za kimagharibi.
Mmoja anafanikiwa kubaki katika mizizi ya dinj yake wakati mwingine anashindwa u magharibi unamchukua.
Sasa humo kwenye kitabu kuna character mlevi akiwa kalewa anamtukana mtume na kumwita vibaya jina lake. Hilo kosa la kwanza la Rushdie.
Kuna sehemu wanatusi wake zake mtume kosa la pili.
Kuna sehemu eti jamaa anawaza eti wakati mtume anashushiwa Quran na malaika uenda alilala na shetani akapata nafasi ya kumpa verse zake. Kosa la tatu.
Kuna sehemu anamlaumu Abraham kuhusu suala la watoto wake kosa la nne.
Pages sikumbuki ...