Jasusi Uchwara
Member
- Aug 12, 2021
- 64
- 117
Kwa maarifa niliyo nayo ya kipelelezi na kwa tarifa za ndani kutoka system lililotokea jana karibu na ubalozi wa ufaransa ni mkakati wa kutihamisha katika ajenda ya kitaifa KATIBA MPYA na ubambikizwaji wa kesi ya ugaidi kwa mbowe.
Naomba uzi huu usifutwe wala kuunganishwa na nyizi zingine kwa sababu utakuwa ni mwendelezo wa sakata la jana.
Naomba uzi huu usifutwe wala kuunganishwa na nyizi zingine kwa sababu utakuwa ni mwendelezo wa sakata la jana.