The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

akbishopo wa kantebury ndo anaongoza misa
 
mimi wiliam namchukua kate kuwa mke wangu kwa ........hahahaha jamaa naappa hapa huku kashika mkono
 
Mweh! Kamdada kamefurahi hako....yaani kanatabasamu tu. Kameula milele......
 
nae kate anaapa...for better and for poor
 
Natabiri baada ya miaka kadhaa kutakuwa na infidelity.......
 
ni ile pete ya marehemu mama yake diana...siaelewa hapa
 
tayari ndoa imefungwa....mbinguni na dunian
 
hahaha! kumbe kuoa raha ehh?, ngoja nianze vikao vya arusi yangu....
YES I DO!

Now i pronounce Manda and ##** Husband and WIFe!
 
.....mbona hata kiss hakuna, au ndio kiroyal royal.
 
kuna dada mmoja yuko upande wa wanakwaya anaimba huku analia,....( nina maswali mengi kweli juu ya kulai kwake)
 
Mchizi keshajichukulia jumla jumla, kilichobaki ni royal sex, royal honeymoon, royal kid(s) and royal divorce (God forbid)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…