Ndio akili za ma star wa Tanzania zilipoishia,
Muda wote huo alishindwa kutafuta watu wakayamaliza nje ya mahakama? Au alidhani kwa kuwa yeye bondia basi hakimu atamuogopa? Akakae na wababe wenzake huko.

hasira hasara
Tatizo hapa ni ujinga tu . Kapewa nafsi ya kujitetea mahakamani analeta upumbavu eti anasema mahakama ifanye lolote inalotaka, wafanye vyoyote wanavyopenda wao. Huo tena si ni wendawazimu kabisa unaozidi hata kiwango cha ujuha?
View attachment 223799View attachment 223800View attachment 223801ukiamua utasimama tena wewe si wa kwanza na hautakuwa wa mwisho
atatoka kwa msamaha wa rais,just wait si kila mwaka kuna msamaha wa rais