Trust me mi ntakua Wa kwanza maana nishaanza kutukanaAm sure baada ya kumaliza hizo episodes 12 watu watatukana sana. Watakuwa wameharibu dhima nzima ya neno 24
Hii sehemu nilirudia mara 3 na zaidi, sikuamini jack anaweza kusema hivi
dammit.....................in jack tone
love u 24
Trust me huyu jamaa Wa ajabu sana aisee
Kaniua zaid ile move alichocheza na yule dem agent mpaka mchz akatoa code duuu
Halafu huyu agent kim si ndo mwanae Bauer?
Wajumbe yani nimeamka ili nitafute namba 9 na 10 na nimeiona 9 tu,acha nikeshe nayo tu
Kim Bauer yupo Los Angeles, huyu ni Kate Morgan, CIA agent
My instincs tells me that jack lazima amle huyu dem sababu anapenda madem ngangari sana
Kama upo Posta niambie nikupe
T
Trust me mi ntakua Wa kwanza maana nishaanza kutukana
Manina zake jack
Yes na sio tu amle, mimi nataka amle
Kama itaishia episode ya 12, itakuwa imeacha maswali mengi ambayo hayajajibiwa. Nadhani kutakuwa na season 10 njiani
Dah hii kitu acha tuu....24 no nouma jamani...
Nisha chelewa sanaa job koz ya kulala later nawatch 24