The Real Hidden World

The Real Hidden World

Yaliyofanyika na mwanadamu yanawezekana kwakila mwanadamu aliye tayar
Ndio maana si kila mti atacheza mpira
Tuna shabiki na mchezaji
Mchungaji/Sheikh na muumini
Mwalimu na mwanafunzi

Nalist yote hiyo yaweza enda kinyume
We have to learn and understand then unaamua kwa utashi wako
Haya mamb yako lakin sio rahis kama mnavo dhan

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Is here where we start to totally fail , we often fail to embarking on the spiritual world due to two main factors;
firstly being deeply in selfishness thus restrict us to limited knowledge, here you find those who feel to know much than others,thus unable to listen to others
Secondly the absence to decide to stay ever determined on a spiritual world ,those who always excel and perform wonders surmount these challenges that come their way but they ever stay determined on a spiritual world despite those challenges up to the end where they really enjoy .
Napoleon's books revealed all these facts.

Anything happens first in a spiritual world before taking place in a physical world. Those who are capable of hovering upon the spiritual world know their destiny. Na ukiingia huko kuna garama yake kutoka, ni bora uujue ulimwengu huo on a positive side (light way of thinking) kuliko ukazama kwenye giza nalo likakumeza totoroo....
Wenye hekima watanielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Is here where we start to totally fail , we often fail to embarking on the spiritual world due to two main factors;
firstly being deeply in selfishness thus restrict us to limited knowledge, here you find those who feel to know much than others,thus unable to listen to others
Secondly the absence to decide to stay ever determined on a spiritual world ,those who always excel and perform wonders surmount these challenges that come their way but they ever stay determined on a spiritual world despite those challenges up to the end where they really enjoy .
Napoleon's books revealed all these facts.



Sent using Jamii Forums mobile app
You're right brother. How can I get that Napoleon's book?
If you can link me to access the book will be my pleasure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You're right brother. How can I get that Napoleon's book?
If you can link me to access the book will be my pleasure

Sent using Jamii Forums mobile app
I didn't pay them a visit on a web yet but I shall try it to link them to you,because those books are really dangerous due to its sensitivity to the society hence some are even prohibited to some countries
Besides, you have to be dogmatic and pragmatic with good faith while reading them since their knowledge are are profound spiritual and magic once you start practices.
They played an important espionage role in warfares both World war 1 & 11 to soldiers and revealed wonders.
They are no longer physically accessible to me and few I had some got lost and other stolen and a Canadian Jesuit Priest who gave me the few I have is no more.
Stay blessed .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguzeni kuhoji juu ya mamlaka na uwezo wa Mungu (Allah) Tafuteni vya kuhoji kuhusu maisha yenu ya kila siku. Hakuna mnachoweza badili ila mtaamini wakati roho zinatoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chora vimoja moja randomly bila kuesabu mara tano then weka mkato randomly uaifikirieee then esabu vilivyo baki ikiwa even weka vistar 2 ikiwa witiri weka kimojaaa. Mfanooo, *
**
*
** then angalia kitu utachotaka kuuliza maswali yako chin apo chagua unalotaka kuuliza angalia herufi yake kwenye pegi zinazofuata kwa kulinganisha mpangilio wa stars zakooo
Nipe ujuzi mkuu mana naona chenga tuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu waterbender ongeza nyam kdgo wengine vichwa vye2 vigumu kuelewa
 
Izo moja moja zilizo baki baaada ya kuweka koma random unaziesabu kama ni shufwa weka star mbili kama ni odd au prime weka mojaaa,

NB
Utaweza kunielewa kama hauna kitabu na hujawahi kionaaaa kama unacho org kakitizamekwanza soma kimombo kidogo kama unaweza ukija kulinganisha na haya ninayo kupa utapata kitu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nianze kwa kusema nakumbuka nikiwa bado mdogo mdogo, nilikuwa na sifa moja kubwa sana mtaani kwetu ya ubishi.
Hata kama ulete fact za kiwango gani lakini niki-stickkatika msimamo wangu ni hapo hapo hamuwezi kunibandua hata mngekuwa mia.
Lakini kuna jambo moja aliligundua mzee mmoja siji kumsahau katika maisha yangu yote ningali bado mdogo kabisa miaka 8.
Aliniita na kuniambia
""Nikiamua kuwa na maarifa naweza kuwa nayo, nakuambia hivi si kwamba nimekuona unamaarifa bali nimegundua unaweza kujaza maarifa ukitaka, sasa nakupa kazi jifunze ulimwengu uliofichika ulivyo hautapata nafasi ya kubishana na wengine kamwe'''
Mzee nilimuelewa japo kwa ufupi sana, labda kutokana na umri wangu ulivyokuwa na kuambiwa jambo lililokuwa juu ya uwezo wa frikra zangu.
Nikiwa na miaka 14 ndipo mzee aliweza kunipa kitabu kilichokuwa na Tittle Hii
"Comfort That Kills" Nikitabu chenye page 36 tu lakini ndicho kikabadili ukurasa wangu wa maisha na kunipa hamu zaidi ya kuujua ulimwengu uliofichika.
Nilikisoma kwa kufanya mirejeo mingi sana katika kamusi ya kufasiri maneno ya Kiingereza kwenda kiswahili,
kwanza kilikuwa na maneno mengi ya kiingereza cha zamani sana, kilinipa shida kidogo lakini niliweza kukielewa na kufunguliwa ukurasa mpya wa kusoma Maandishi.
Si kwamba sikuwa msomaji toka mwanzo ila nikwamba usomaji wangu uliegemea sana katika kusoma hadithi za nadharia zaidi zilizoandikwa na waandishi mbalimbali mahiri.
Sasa hapo ndipo nikaaznza kuufukunyua ulimwengu uliofichika kwa fujo zote.
Sio katika Upande wa Dini au Historia tu, bali niliweza kuyajua mabo mengi sanakwa muda mfupi.
Na kadri nilivyozidi kusoma ndivyo nilivyozidi kujua na kutambua ya kuwa katika asilimia 100% huenda nimeijaza asilimia 0.001%(Kwa wasomaji wavitabu wananielewa vizuri hapa maana kadri unavyosoma ndivyo unaona hauna kitu na unahitaji kujaza vitu)

Nilikuwa napitia Thread Za mtu mmoja humu(jina kapuni)
Niligundua jambo moja wengi wanaompinga katika thread zake ni wale wanaoangalia muvi na video za youtube juu ya uhalisia wa ulimwengu tunaoishi, lakini hawezi kuwa na mrejesho hata mmoja juu ya maandishi aliyoyasoma.
Huyu jamaa ameandika vitu vingi ambavyo huenda sikujua kama naweza kukutana na mtu kama huyo hapa, lakini ndipo nikajua kumbe JF ina watu wengi sana wa kila namna (Viva JF)
Sijaja Hapa kuueweka hadharani ulimwengu uliofichika ila ukihitaji kuujua unajulikana kabisa, tena kwa urahisi sana.

Labda unaweza ukakosa Mzii mahala pa kuanzia lakini nakupa kidogo jambo moja.
Jaribu kujifunza mambo kama haya hapa.

Kwa watu wa Imani hasa wakristo na waochimba masuala ya tulikotoka,kwanini iko hivi,kwanini iko vile,imekuwaje,ilikuwaje,jaribu kupitia mambo haya.
-Ni vitabu gani vilimeondolewa katika Biblia
Unaisoma Biblia Leo lakini inavitabu zaidi ya vitano havijawekwa humo
Tafuta kwanini havimo, vinafundisha nini, nk

-Ni nani alikuwa mmiliki wa kwanza wa America(Usiniambie wahindi wekundu nabaadhi ya maneno yaliyopo kajifunze ulimwengu uliofichika)

Naomba niishie hapo kwa Leo, lakini nikipata mda mzuri na nafasi nitaweza kuleta hoja mbalimbali juu ya ulimwengu uliofichika kwa kadiri ya jinsi nitakavyokuwa na muda.


Updates Ipo Page #30 Kitabu Chenye Utata (Kina Uwezo Wa Kujua Wakati Wako Ujao)

Upadates Ipo Page Ya #95 Nguvu Za Asili Alizonazo Mwanadamu Kumshinda Mchawi


Upadates Ipo Page Ya 128 Nguvu Za Asili Alizonazo Mwanadamu Kumshinda Mchawi Sehemu Ya Pili Na Mwisho
Chief umetishaaa
 
Back
Top Bottom