Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
Ni tamthiliaMovie
Dah,yani ni balaaWanakera balaa sana aisee
Basi huko hapafai,kn watu unaez dhani ni mwanamke,ukimchungza vzri ni boyWanaigiza uhalisia uliopo nchin mwao
Yah ni nzuri,nadhani wakiyatoa haya majamaa zitapendza zaidi,hii mtu unashindwa kuangalia na watu wa heshimaHata me huwa najiuliza sana hili swala ila yote kwa yote tamthilia zao wafilipino nzuri sana
Wanakera balaa sana aisee
Tamthilia ya the promise inayorushwa star tv kuna jamaa yule mpishi anavaa ki shoga ...i
Mkuu,kun love stori nzr pale,hao jamaa hawaoneshwi mda wote they are just minor charactersKama mnakerwa mbona hamuachi kuangalia? Mmeshikiwa panga?
Kweli kabisa ndio wanachokosea sema ndio hivyo wenyewe wanajionea sawa tuYah ni nzuri,nadhani wakiyatoa haya majamaa zitapendza zaidi,hii mtu unashindwa kuangalia na watu wa heshima
huwa siangalii huo ujingaKama mnakerwa mbona hamuachi kuangalia? Mmeshikiwa panga?
Nimeacha kuangalia..bora ile season 1Dah,yani ni balaa
Kuna channel moja inarudiwa mkuu,nikiikumbuka ntakupa jinaNakumbuka tu The Promise ya TBC mwaka 2008 hii ndio niliifuatiliaga mpaka mwisho. Huku unamkuta BOKBOK huku yupo bidada POKNAT eti wakaachiana ndala moja moja. Toka hapo sijawahi kuangalia tamthilia tena.
Ni chache sanaTakor
Hivi kuna tamthilia ya kifilipino iliyokosa character wa aina ya Takor???
Wanapenda sana...Ni chache sana