Shemeji kwa mapenzi nlo nayo kwa Soulmate wangu sitamani kumpoteza sasa nkifikiria kuwa naye ni binadamu ikijatokea katetereka?! Nawezampa second chance na ikawork?! Sitaki kusema kuwa nitakuwa proud kama nitaachana nae kwa kuwa kanikosea but hakuna nafasi ya kumake up for the second time?? Jamani wanawake hatupendi kubeba na kuchunguliwa na wapya kila kukicha!
Da Mkubwa Kaunga aksante naona umehit pale ambapo nilikuwa ninahofia Mbu my Soulmate asije akapagusia being the victim..... lakini mbona unawezakuta mtu anakuacha lakini baada ya muda hurudi kwa kasi? Sasa bahati akikukuta tayari kwenye mahusiano mengine na wewe hutizami makunyanzi yake unasonga mbele.....unajiuliza mbona karudi?
Kwanza unapo mpa mtu first chance lazima uweke wazi kua he has only one chance. Na pale anapo kosea take all the time you need before you take any decision. Then ikitokea mnaachana kaa nae mbali, usimpe hata nafasi ya kufikiria there could be a second chance.
When you give some people a second chance it is like giving them a second bullet...
Soulmate................ubanane na nani na huo mjimwili? Si nitasafocate mie nnaetaka kuwababanisha?! Hakuna hiyo kitu bana.
Babu DC, Aspirin and The Finest, swali mnisaidie, hivi second chances mwisho mara ngapi?
Note: mie NKristo, 7x70 sijui kama inatosha....
Wapendwa nawaamkua. ........
Najiuliza inawezakana kweli? Maana kwa mtazamo wangu finyu wa mawazo, mwenye mapenzi ya kweli ana uwezo wa kuresist kukuumiza (anaweza akacheat kukidhi mahitaji ya tamaa zake but atamake sure kuwa hapitilizi na wala hakuumizi yaani atakuprotect) sasa akiamua kuiacha na kuipa nguvu nyumba ndogo kiasi cha yenyewe kukutambia hadharani hadi akakugusa mkono kipofu wewe kuwa bwana eh...bwana/bibi ulonaye sote twala kwa zamu ..............je kweli second chances zinalipa??
Kuna mtu JF nataka kumpa second chance...................hahahaha
Karibuni waungwana
Babu yangu kipenzi.................. sitoi second chance kwa yule, ashadeletiwa yule Babu bali nawaza tu kwa sauti, huyu wa sasa naye akinitenda should I? If not then Babu nitawabadilisha mara ngapi kabla wewe na wababu na wabibi za mtaa wa pili hamjaninyooshea kidole???
Kama hajakutenda kwa nini unaanza kuwazia maovu wewe mjukuu wangu mpenzi MwanajamiiOne?
Mpatie unconditional chance ila uweke mistari ambayo akiivuka basi tena siyo riziki. Ila ukianza kwa kujiandaa kutoa second chance basi unaweza hata kumhamasisha akaitumie hiyo zawadi yake!!
Babu DC!!
... Dark City, mimi nahisi maelezo ya MwanajamiiOne yanakamilika pale alipohitimisha kwamba anataka kutoa 2nd chance kwa member wa jf.
Hata kutendwa hajatendwa (na wa sasa), iweje ati aanze kufikiria atoe msamaha wa aina gani? Changa la macho hilo..... Utu uzima dawa, mumusa tumbaku na ugolo upige chafya..
Babu DC na Mbub.,.. Mmeingia chaka!
Wifi King'asti ujumbe ulioniachia voicemail nimepata... Kakako kakatisha hanemuni, kaniboa!
Huyu MwanajamiiOne hatutakii mema na hizi starter topic zake, anafanya tu kuamsha yalo lala....lol. Enways tunaposema Second chance hivi tunazungumzia kwa wanandoa tu ama na wa mahusiano ya upenzi tu pia? Maana naona kama mahusiano yote haya yakichukuliwa na sawa ni kama vile kutakua na Imbalance.
Mie belief yangu ni kua Second chance katika mahusiano hasa wanandoa ni muhimu. Hakuna alie kamilifu wala hakuna ambae yupo perfect all the way kwa Mpenzi wake, ila sema tu kuna nafuu za kero ambazo husababishwa kati ya mwanadamu na mwanadamu. Kwamba mkae na muishi kwa Amani bila kukoseana to the Extreme! (Sio lazima kucheat peke yake, kuna makosa wanaume wanafanya saa ingine hata hio ya Cheating ni cha mtoto; hata nashangaa ni kwa nini Cheating ndio inaonekana kama imeshika hatamu na the only reason ya kufanya wenza waachane). Tunapokuja swala la kucheat..... Dah! Mummy haya hawasemagi kua nitasamehe.... Haya unasubiri yakutokee ujue kama utasamehe ama Lah. Ukizingatia Circumstances za kucheat zimetofautiana sana....
BTW hizo Konyagi zisha isha kichwani? Huyo mtu kama kosa ni hilo moja tu alifanya na una hakika he loves you, He deseves a chance.... On the condition unanitambulisha ili niwakaribishe chakula cha nyumbani. lol
Huyu mjukuu wako asisingizie nyagi wala nini! Tulishakubaliana mi nakata viboko walau mizigo miwili lumbesa, napakaa pilipili afu AshaDii na Nyamayao ndo wanamcharaza manake mie ntamuua!