The power of my no. 14.

UMENIKUMBUSHA WIMBO WA OTTU JAZZ UNAOITWA MASUNGA UNA BAADHI YA MANENO YA YAFUATAYO;
"Awamu ya kwanza imekuwa kama chungwa
Awamu ya pili imekuwa kama limau...."
Mapenzi yao Feb 14 ni tofauti na Nov 14.
MY TAKE:
USIOGOPE MIMBA OGOPA KUZINI KWENYEWE!
 
... Mkuu umegusa itikadi zetu kwa huyu Mh. mwenye shati ya rangi ya chama...
 
... Mkuu umegusa itikadi zetu kwa huyu Mh. mwenye shati ya rangi ya chama...

Du! upo makini sana, kama unaangalia kwa darubini!. Ilikua sija iona hiyo, lakini sio lengo langu.
 
Hivi mama mjamzito wa miezi 9 huwa anaweza kukimbia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…