shemdarl
Asprin wewe unajua huwazi kwingine zaidi ya ndani ya kyupa na ndani ya kyupi!Lol
kiwatengu nini maana ya mapenzi?
-tunaweza kupenda bila kumake love/kusex
-nini kinafanya uwe na power of love?
-manifestation yake?
-power of love lazima iwepo kwenye mahusiano
-kwani huwa inafanya penzi lidumu?
-naweza kuiita uvumilivu?
-ni tendo la hiari?