The Power Of Beauty ( nguvu ya urembo )

busy bees

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,249
1,340
bcd8af6648971d0b8510133bdac2d08f.jpg

"Being BEAUTIFUL itself is POWER, People get INTIMIDATED in the Presence of a beautiful lady ..."

"Kuwa MREMBO pekee ni NGUVU, Maana watu HUPATA HOFU/ HUSISIMKA hata KUVUTIWA wawapo mbele ya mwanamke/ msichana mrembo .."

Wana jf hebu mnisaidie .... pana ukweli kiasi gani wa hiyo "statement" hapo juu? ....

UZOEFU ukitumika itapendeza zaidi ....
 
Ashhh asee nimesisimuka asbh hii yote.. Skia wewe utaharibu Dhana ya Maada yako ukiendeleza kutuwekea hii mitako.. Tupe zile za Sura tu ili tuone huo ubeuty. Hii misambwanda utatupeleka bafuni Muda sio mrefu
misambwanda ndo mpango mzima
 
Ashhh asee nimesisimuka asbh hii yote.. Skia wewe utaharibu Dhana ya Maada yako ukiendeleza kutuwekea hii mitako.. Tupe zile za Sura tu ili tuone huo ubeuty. Hii misambwanda utatupeleka bafuni Muda sio mrefu
Beauty of someone isn't only the issue of FACIAL EXPRESSION ..... but it's expressed by the entire body ....

There are those who are INTIMIDATED by seductive eyes, beautiful lips, dimples, beautiful boobs, beautiful hips & legs and not forgetting angelic voice ....

But others are really INTIMIDATED by the INNER BEAUTY of someone
 
Back
Top Bottom