The Place Bar Moshono mnatuharibia watoto kwa muziki usiku kucha kila siku

Hossam

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
3,538
2,155
Naomba NEMC aisee muingilie kati. Hawa jamaa wa The Place bar Moshono Arusha wanapiga muziki kwa sauti ya juu sana usiku kucha. Majirani hapa hakuna kulala. Watoto usiku kucha ni kuhangaika nao tu. Naomba mamlaka husika zichukue hatua watoto wetu na hata sisi watu wazima tunashindwa kulala vizuri.

Pangu Pakavu
 
Acha kuharibu biashara za watu,unaacha kusema mapapa kama club d na Mopao unaleta mdomo hapa,Ticha endelea kutupa buruda,alafu wew utakua kapub ka jirani.
 
Aisee! Nchi ngumu sana hii. Biashara zina taratibu au sio?
 
Ukitaka kulala unaweza tu kulala, kuna watu wanasinzia na kukoroma kabisa hapo hapo bar, kuna watu wakisikia music au makelel ndio wanapata usingizi. Kikubwa wewe uliyekubali kuishi karibu na bar enjoy
 
Ndomana nliamua kujikalia madale huku
Sinza, tabata balaa tupu

Ova
 
Ndomana nliamua kujikalia madale huku
Sinza, tabata balaa tupu

Ova
Ebanaee ushakimbia Kino? Kwani Madale hamna bar? Hata Goba lilikuwa pori subiri tu zitakufikia. Nchi haina mipango miji hii.
 
Kupambana na hizi bar ni ngumu sana. Wakati pillars ya njiro inaanzishwa, majirani tena wazito walipambana sana, lakini walishindwa. Wazee wa watu maskini imebidi wengine wakimbie makazi yao na kwenda kupanga. Inaumiza saanna yani.
 
Bar inataliwe iwe na sound proof kama ni nje ya bar zifungwe screen na mziki wa sauti ya chini sana
 
Kupambana na hizi bar ni ngumu sana. Wakati pillars ya njiro inaanzishwa, majirani tena wazito walipambana sana, lakini walishindwa. Wazee wa watu maskini imebidi wengine wakimbie makazi yao na kwenda kupanga. Inaumiza saanna yani.
Yaani hatulali aisee.
 
Back
Top Bottom