Hii story ya Jimmy nimewahi kuisikia kutoka kwa watu fulani waliokuwa gerezani naye mwaka jana katika sakata lao la EPA. Wanasema eti ni mtu 'down to earth" hana makuu, n.k. Lakini behind that false calm and blunt face there is a cunning animal ready to pounce and kill! Kama chui vile.
Anawambia "wana- EPA" wenzake kwamba waswahili ni watu ajabu sana maana walipoanza kuchota pesa EPA mambo yote yakaanza kuwekwa hadharani. Waafirika walipopata pesa wakanunua magari ya kifahari, majumba kila kona, starehe na wanawake kibao. Anasema kabla ya hapo hizi pesa aina ya EPA zilikuwepo lakini zilichukuliwa na wahindi wenye kujua namna ya kuziwekeza na kuziifadhi bila mambwembwe kama waswahili wanavyofanya. Katika ile sura ya upole ya Mzee Jeetu kuna kejeli (contempt) kwa waswahili. He may be right?
La pili ambalo aliwaambia huko Keko ni kwamba yeye kama Jeetu Patel hajawai kwenda ofisi yoyote kuomba kuchotewa hela kama za EPA. Ni viongozi wa serikali ambao umfuata na kumwambia " Mzee Jeetu kuna pesa mahali fulani, fanya hili na hili utuletee ofisini tukupatie hizo pesa". Kwa maana nyingine viongozi wanampatia deal kubwa kubwa kama za EPA maana wanamwamini atatekeleza makubaliano. Eti waswahili hatuaminiki hasa kwa mambo makubwa. This is the other side of Jimmy's Patel!
Ama kweli wajinga ndio waliwawao!