Umenifanya nikawaza mbali sana,nikakumbuka enzi zile nilipokuwa mtoto nilikuwa naweza kukaa peke yangu sehemu iliyotulia na kujiuliza mimi ni nani? Kiasi nilikuwa najishangaa na kutoka nje ya dunia kifikra tofauti na siku hizi hata nijaribu vipi siwezi tena.
Siwezi kusubiri kigongo hiki kipya honey,kwa intro hii itakuwa balaa...pasua kichwa hasa.
Dah acha tu mkuu. Tusubiri hii simulizi huenda ikatutoa tena nje ya dunia kifikra ukubwaniSi wewe peke ako Mrs The Bold.....nilivokua mtoto nilikua nawaza hvo pia naenda beyond the life afu najikuta siwezi kufikiri anymore......nilikua naishia kulia tu
Lipo mpenzi Linamo,takribani mwezi wa 3 huu sasa.Kuna group
Dah mtoto ni malaika kweli.Mimi nilikua nawaza huyu mungu ni katili kiasi gani hadi aumbe binadamu na wanyama kisha awaangamize kwa kiamaa?,kimsingi swali hili lilinikosesha amani ya moyo.
Ndo hivyo hamna namna tena,Dah mtoto ni malaika kweli.
Sasa hivi nimewahi kujaribu kwenda beach mara kadhaa na kujitenga sehemu tulivu kila nikivuta hisia kama zamani haziji!
Mara yatanijea mawazo ya The bold,Bashite,Sizonje hahahaaaaaaa
Tayari Mkuu..mkuu niweke kwenye tag list tafadhali.
Tayari Mkuu nimekuongeza kwenye listMkuu naomba uniweke kwenye list.
Tayari..Mkuuu niongeze kwa taglist please nakuelewa zaiiid
Mkuu asante sanaTayari..
The same To Me.. Genius The bolD..!!Tayari..
Kweli sikuwepo ila nipo kama sipo pia,
Kwenye grupu tushaipata... Nihonge nikusimulieNaisubiria kwa hamu
Nisimulie nitakuhongaKwenye grupu tushaipata... Nihonge nikusimulie
Mpaka unihonge kwanzaNisimulie nitakuhonga
Karibu sana ummy..Kweli sikuwepo ila nipo kama sipo pia,
Nikitulia nitakwambia nami niungwe huko ila kwa sasa sipo whatsapp.
The Team pia wapo????