The Other Half (Simulizi)

Chondechonde tukianza kusoma usitupeleke WhatsApp halafu ukaanza kwenda mwendo wa Kobe.Yule binti,nifah nadhani ni mpalestina anakupeleka puta sana mkuu@Bold
 
Chondechonde tukianza kusoma usitupeleke WhatsApp halafu ukaanza kwenda mwendo wa Kobe.Yule binti,nifah nadhani ni mpalestina anakupeleka puta sana mkuu@Bold
Utaacha lini kulalamika kuhusu mimi mkuu? Hahahaaaaa
Kuna wakati wa kazi na mapenzi,bear it on your mind.
 
Utaacha lini kulalamika kuhusu mimi mkuu? Hahahaaaaa
Kuna wakati wa kazi na mapenzi,bear it on your mind.
huyu jamaa nahisi huwaga anakuota aisee.. haipiti siku bila kukutaja hahahahah

i really feel sorry for him.. "hate" is the worst thing in life!! so sad
 
huyu jamaa nahisi huwaga anakuota aisee.. haipiti siku bila kukutaja hahahahah

i really feel sorry for him.. "hate" is the worst thing in life!! so sad
Hahahaaaaa na ataniota milele babes,angekuwa mwanamke mwenzangu ningesema ananionea wivu...mwanaume nakosa hata la kusema sasa.
 
Mkuu the The bold kama itakupendeza machoni kwako naomba nami uniweke kwenye tag list
 
natamani jmosi ifike haraka ndio naona leo shukran The Bold
 
Mimi nilikua nawaza huyu mungu ni katili kiasi gani hadi aumbe binadamu na wanyama kisha awaangamize kwa kiamaa?,kimsingi swali hili lilinikosesha amani ya moyo.
 
Pamoja mku..

Tumaahau bashite walau kiduchu aisee!!
Tatizo lake hakubali tumsahau,mkianza kufanya yenu mara huyo anaanza story zake za chumvi na Colgate,mara anasukuma nyumba zenye nyufa mabondeni.ili mradi tukue yupooo
.

Bora the bold uanze jumamosi haka kastory najua jumapili baba askofu isiyekopeshwa gwajima atatupiamoo.
 
mkuu niweke kwenye tag list tafadhali.
 
Chondechonde tukianza kusoma usitupeleke WhatsApp halafu ukaanza kwenda mwendo wa Kobe.Yule binti,nifah nadhani ni mpalestina anakupeleka puta sana mkuu@Bold
Kuna group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…