The Other Half (Simulizi)

Hiyo website mbona kwangu siioni,,,

Niandikieni upya hapa wakuu niende huko,, natumia browser wakuu 😭😪😥
 
Hii kitu ingefaa sana kipindi hiki cha self Isolation........
Sema ndo hivyo dogo the Bold kazingua
 
Huyu jamaa tangu alipotuacha njiani na story ya vipepeo weusi huwa sina hamu naye tena,hata hii nina wasisi ndo kashaiacha ..
 
Naomba kuijua hiyo tovuti
 
Mwenye hii story mwanzo mwisho
Naitaka hata kwa malipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…