Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,749
- Thread starter
-
- #401
Pamoja sana mkuu!Dah the bold unatisha mkuu nilikua na kufatilia kimya kimya leo umegusa kule kuna ku nikosha napenda saana mambo ya astronomy mie kazini nikiwa bored nataka muda uende naingia zangu youtube naangalia documentary za space, the edge of the universal mambo ya supermassive blackholes, and supanovas basi najikuta jioni hio hapo. tafuta siku utupe ya mambo ya ulimwengu.
Tayari nimeshatupia Episode 19BOLD arosto zimejaa sasa zinamwagika
Shukran kwako nimetembelea pande hizoTayari mkuu nimeweka
mzigo uko fresh mkuu ila leo jamaa zangu wenye manyoya sijawaona bhana nadhani mpka next episodeEPISODE 19 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...
kuisoma kwa urahisi, nenda juu kabisa pale kwenye "Trending" utaiona au shuka chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...
mzigo uko fresh mkuu ila leo jamaa zangu wenye manyoya sijawaona bhana nadhani mpka next episode
Sawa kiongozi..Naomba na mimi uwe unanitag broooo
Asante.Tayari mkuu nishaweka!
Kila siku Jioni kuanzia saa 2 usiku ingia kwa website category ya "SHORT STORIES" utakuta Episode mpya!asaivi hamna tag list?
Leo usiku mkuu Episode 20 inakuwa hewani..Safi sanaaaaaa, mambo yanazidi kunoga, bold naomba usichelewe kwa inayofuata.
Hahahaaaaaa mzee Caleb ni nomaaaaNamuona Caleb hapo kwenye hiyo picha anatoka kwebye maji
Hahahaaaaaa welcome back mkuu,ulipotea sana.AM BACK.. daah nina mzigo mkubwa sana wa kupitia hii simulizi.. Asante sana genius wangu The Bold siku zote huwa uniangushi nilikuahidi mshahara wng wa kwanza lazma upate mgawo kidgo au vipi maana hii kazi sio ya kitoto.. be blessed Mh and your team🙂🙂
Hahahaaaaaamzigo uko fresh mkuu ila leo jamaa zangu wenye manyoya sijawaona bhana nadhani mpka next episode
daaah hii ni good news yaan kila jioni dozi, saafi saana.nifah andaa juice kila siku jioni Bold hasichoke.Kila siku Jioni kuanzia saa 2 usiku ingia kwa website category ya "SHORT STORIES" utakuta Episode mpya!
Leo usiku mkuu Episode 20 inakuwa hewani..
digitaldrimzaafrikaMwenye kujua jina la tovuti aniambie