The opposite is true....

Pure Mathematics

Senior Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
174
Reaction score
52
Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa.
Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na wanawatoto.
Usiolewe sababu umemaliza chuo, unaishi mwenyewe na unakazi nzuri.
Usiolewe sababu kila mtu kanisani anakuuliza pilau tutakula lini.
Usiolewe sababu wazazi wanataka kumuona mkwe na wajukuu.
Usiolewe sababu wazazi na wewe mmechoka kuchanga sasa mnataka kuchangiwa.
Usiolewe ili uonekane umeolewa.
Usiolewe kwa sababu umepata ujauzito.
Usiolewe sababu unaogopa kuzeeka ukiwa mwenyewe.
Usiolewe sababu unaona umri unakwenda.
......
Ndoa sio jumuia, ndoa sio destination, ndoa sio zawadi kwa wazazi, ndoa sio social status, ndoa sio watoto, ndoa sio kuondoa nuksi..

Olewa kwa sababu ni wakati wa Mungu wewe kuolewa, umempata mtu sahihi mnayependana kwa dhati, umeridhia kutoka moyoni bila kuwa influenced na kitu chochote..

Ni bora uendelee kuishi mwenyewe kuliko kuingia kwenye ndoa ya majuto. Mngojee Bwana na hakika hatakuacha wala hajakusahau.share na mwenzio aelimike kwa kupitia ujumbe huu
 
Wewe naona imeisha kula kwako.....

Kilichobaki zaa ili usije kufa bila mtoto, upate mrithi walau...

Manake umekuwa mjane kabla hujaolewa
 
Maneno yako yana reflect na hisia, vp wew haujolewa na kwanin??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…