Habari,
OUT is one of the oldest and the largest public university in Tanzania but nashindwa elewa kwanini Chuo Kikuu hiki bado hakina uongozi imara mpaka sasa. Watawala wengi wa Chuo hiki hasa wa Head Quarter - Kinondoni Biafra wanadharau sana na wanafanya mambo vile watakavyo bila kujari watakwa na shida za wateja wao (Students). Naomba VC wangu Professor Elifas Tozo Bisanda uangalie upya mfumo na nyendo za watu wako maana wanachosha na kutuumiza Sie.
Mfano, Director wa IEMT - Dr. Edephonce Nfuka ameshindwa kabisa kusimamia taasisi hii, kuna kero nyingi sana ikiwemo ya kuchelewesha vyeti. Mdogo wangu ana miaka 2 sasa hajapata cheti na hakuna taarif yoyote juu ya ucheleweshaji huo.
Yangu ni hayo tu