Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 335
Nitafanya hivyoTuwekee na madhara yake ili tuchague mkuu one thing or things
Basi utafanya poa zaidi ila binafsi nilikuwa najadili miradi miwili kwa wakati mmoja hivyo post yako inaweza nibadilishia maamuziNitafanya hivyo
Ndio mkuu ila the one thing haijamaanisha maisha yako yote ufanye jambo moja bali imemaanisha fanya moja mpaka liishe na lifanikiwe ndipo uanze jengineBinafsi naamini katka kufanya Mambo mengi maana ukifanya Jambo moja tu binadamu wanapenda kuiga mwisho wa siku utaigwa hatimae kugawana wateja lakn ukiwa na mishe nyngi wakikaba huku unatoboa na kwing
Unaweza kuamua kufanya jambo moja tu na likakuwezesha kufanya hayo mambo yoteKatika maisha yetu hasa sisi wa Africa one thing its hard to implying bro...
Mambo ni Mengi muda mchacheee.
1. Some
2. Ujenge
3 Usomeshe
4 Uzazi
5.Kumiliki Cari
Vyote hivyo vinaitaji mpunga mrefu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app