The Official NBA Thread

Miami Heat are through to the Eastern Conference Finals. They won the series against Boston Celtics 4-1
 
Atlanta akikaza buti anamtoa Bulls... Well I am a little biased but who isn't?
Hawks wametoka mbali sana inabidi wacheze kwenye final ya east sasa.
 
Ok, sasa ntaanza kuangalia playoff series kwa makini maana imefkia patamu. Chicago vs Heat ndio inaonekana itakuwa tamu zaidi pengine championship decider. OKC (likely) na Mavs naona kaa itakuwa one-sided. Well mwaka huu sita-bet na mtu. Ha ha ha.
 
2011 NBA finals ni Dallas na Da Bulls, lakini kama ulivyosema hii series ya Da Bulls VS Heat itakuwa bomba sana na nadhani itaenda mpaka game 7.
 
haya tusubirie usiku tujioneeee game 1...sidhani ka bulls watafua dafu kwa heat
dallas ya thunder yaweza kuwa final nzuri zaidi
 
Shukrani kwa kunishtua Mkuu Mtaalam, nilikuwa hata sijaangalia hii series ya Heat VS Da Bulls inaanza lini, nilidhani inaanza kesho...ningeweza kuikosa mechi ya usiku wa leo. Ili Da Bulls washinde inabidi Carlos Boozer na Luo Deng wacheze vizuri sana vinginevyo itakuwa vigumu kwenda kwenye finals.
 
Ok, sasa ntaanza kuangalia playoff series kwa makini maana imefkia patamu. Chicago vs Heat ndio inaonekana itakuwa tamu zaidi pengine championship decider. OKC (likely) na Mavs naona kaa itakuwa one-sided. Well mwaka huu sita-bet na mtu. Ha ha ha.

Vipi tuna bet mwaka huu mkuu? lol
 
Naona Game 1 ndio imeshakwisha... with 6.53 minutes to go Da Bulls 88 Heat 74.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom