The Odyssey

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
May 24, 2013
3,564
1,989
The Odyssey ni episode film iliyotoka mwaka 1997; inayogusa maisha ya kifalme na safari ya mashujaa walioondoka nyumbani kwenda vitani. Wakiwa vitani walipambana kwa juhudi na akili na walifanikiwa kupata ushindi. Kundi la mashujaa hawa waliokuwa njiani kurudi nyumbani wakiwa ndani ya jahazi karibu kabisa na makazi yao ulivuma upepo mkali sana baharini na jahazi lao likapoteza muelekeo. Kwa hiyo jamaa wakapotea mbali kabisa na makazi yao, hata wasijue ni wapi walipo, hapa ndiyo utamu wa filamu unapoanzia. Mashujaa hawa wali suffer sana kutafuta njia ya kurudi nyumbani... The Odyssey; this movie is my favorite movie of all time. Nimejaribu bila mafanikio kuitafuta hii filamu kwenye mitandao...wapi nitaipata ili niweze kuipakua free?
 
Back
Top Bottom