“The New Face of Corruption in Africa"

“The New Face of Corruption in Africa"

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,881
Reaction score
1,500
Kuna Wamarekani wameamua kutengeneza Documentary juu ya Wizi wa viongozi wa dini.....soma hiyo attachement wataiita "Bishop's New Face of Corruption in Africa"
 
Attachments

Kuna Wamarekani wameamua kutengeneza Documentary inayoonyesha kuchoshwa na wizi wa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati na Katibu wake Mr. Karyongi... soma hiyo attachement utagundua maovu yaliyojaa kwa baadhi ya viongozi wa Dini tunaowaheshimu..... wataiita "Bishop's New Face of Corruption in Africa"

Huyu dogo ana matatizo makubwa zaidi ya anachofanya.

Mbona hajasema ushirikiano wao ulianzia wapi na ugomvi ulianzia wapi?
Na anaposema corruption in Africa kwa sababu ya gomvi wake na Askofu mmoja wa kanisa moja katika dayosisi moja anakuwa anaonyesha upumbavu wake na jinsi gani alivyojaa hasira katika hizo harakati zake.
 
sidhani kama umesoma habari hii.......hajamzungumzia askofu mmoja.....
 
Kuna Wamarekani wameamua kutengeneza Documentary juu ya Wizi wa viongozi wa dini.....soma hiyo attachement wataiita "Bishop's New Face of Corruption in Africa"

The documentary might be showing a true picture of churches and church leadership in Tanzania. We must think about it.
 
Tunaisubiri kwa hamu kwani makanisa mengi yamejaa wahalifu wanaolitumia jina na MUNGU kuibia watu! Naamini bado mnaikumbuka ''DARWIN'S NIGHTMARE" ....aibu yao aibu yetu !
 
Back
Top Bottom