akinichefua alipoingia kwenye siasa za matusi ccm wamemtumia kipindi ana uchizi wakamwacha kwanza jamii imchore kisha wamemrudisha but never be same again hatusui tena maybe abadili fani
Ajiombee asirudi tena, maana hakuna wakumuombea watu wana mambo mengi yakuomba hivyo hakuna mwenye muda wa kumuombea asirudi tena huko, ajiombee mwenyewe