The Most Humiliating NBA Draft Picks Of This Millennium: Hasheem Thabeet

Smashala

Senior Member
May 25, 2009
194
135
SPORTS


Sijui ni nini kilisababisha kiwango cha
Mpira basketball wa mtanzania mwezetu, Hasheem kuanguka vibaya hivi. Sijui nini kilicho msibu. Kipaji cha kucheza anacho. Nilikua nategemea angekua zaidi ya Dikembe Mutombo.....very sad... Angalia article ya Yahoo Sport juzi

In 2009, Memphis Grizzlies rolled the dice and ended up making a disastrous mistake by selecting UConn center Hasheem Thabeet with the No. 2 pick overall. Standing at 7 feet, 4 inches tall, with a huge wingspan, Tanzanian’s Thabeet was viewed as a “project” draft pick for the franchise. Thabeet never ended up playing more than 5 minutes a game. During his short NBA career, he averaged 2.2 points and 2.7 rebounds
 
Kikapu kajifunzia Ukubwani huyu ni sawa na Obote wa Bongo huko Marekani humuita Kubwa Jinga... kila akishika mpira... hata Dank huwa anamwaga(Anakosa) wakati goli analitizama tu..

Michezo watu wasio na kipaji ni kuzingatia mazoezi jamaa kipaji zero... umbo tu na urefu ndio vilimbeba Stephen carry katika kuchaguliwa alimpita mbali sana ila Steph ni mvp now anatisha kwa kudank,leap,Kufake na point tatu ni balaa... kweli Memphis walibugi.... yawezekana aliiba matokeo kama ujuavyo wabongo haiwezekani alichukua namba mbili...

Dharau zake nyingi ndio zilizomfanya awe mzembe alidharau walimsaidia kufika pale alipokuwa na aliwaumbua hadi kwenye media wakamuambia poa tutakuona mjanja wewe mwishowe akawa kibudu kila aliyemsajili alijuta... NBA KAISAHAU IKOJE SIKUHIZI anaingia kama Shabiki Bongo anaona Baja kurudi na akirudi basi kimya kimya... Njaa inamtambalia bora pesa alizochuma arejee Bongo kuishi ni nyingi sana... kwa huku ila kwa Marekani atazitumia na kulipa kodi zitakata fasta tumeona kina mc hammer,Mike tyson walipata pesa ambazo dogo hatoweza kufikia na waliishiwa mbaya hadi wakawa omba omba... Rudi nyumbani rudi... Watu wa Bongo flava hakuna wa kumtungia wimbo huyu kama walivyokuwa wakifanya kina Balisidya na Marijani au Mwinshee Mubaraka... Maana jamaa alikuwa akiwanyang'anya watu mademu zao and then anawapiga... blah blah ovyo sana...

Sambe Penzi ni kitovu cha uzembe Stuka
 
TID anachekea tumboni Tu sasa hivi. Ole wake aonyeshe meno atakula mabuti ya ugoko aendelee kulia.
 
Cheki hapo wenzake bado wapo NBA tena they're doing very good,yeye I wonder Yupo wapi now aday very sad kijana.
7ef55fb0dfd314005fc3aa3af4e1e4d5.jpg
09503686c30fe7607209f4e05658a464.jpg
 
Jamaa kachezea fursa. Nasikia alikuwa analamba mshahara wa dola million moja na nus kwa mwez. Hiv ni kwel ama tetes
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom