The most famous speech as 'tz' premier

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,805
173
Wadau,
Heshima kwenu wote.
Napenda niulize na tueleweshane na kufundishana baina ya kizazi cha zamani na cha sasa juu ya mambo ya nchi yetu, ili iwe rahisi kujadiliana na kujuzana.

'Hivi ukiondoa khotuba alizowahi kutoa mwl. Nyerere enzi za uhuru akiwa ni waziri mkuu wa Tanganyika...ambapo alikuwa na ushawishi mkubwa katika khotuba zake zenye kuvutia wasikilizaji na zisizochosha kupelekea kusinzia kwa wasikilizaji,, je ni khotuba gani nyingine maarufu iliyowahi kutolewa na waziri mkuu mstaafu/wa zamani/ aliyejiuzulu wa Tanzania mpaka sasa? Wenye historia nzuri naomba watujuze sisi dotcom ambao baadhi hatujawahi aidha kushuhudia utendaji wao ama kujua historia wa waliyoyaongea/waliyonena wakiwa ni watendaji wakuu wa serikali yetu/zetu.'
  1. Nyerere
  2. Kawawa
  3. Msuya
  4. Sokoine
  5. Salim
  6. Warioba
  7. Malecela
  8. Sumaye
  9. Lowassa
  10. Pinda
 
None wote ni blaa blaa, wengine wanalia labda hilo

UWAZIRI MKUU WA TZ unamambo saana, vitisho, huruma, machozi, jazba, kuonewa, kustaafishwa, kufisadi...yaani una kila namna. Hapo kwenye red napo ni moja ya vioja.
 
Back
Top Bottom