The Most Competitive League in the Word

Logikos

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
12,499
19,538
Bado game nne timu ya mkiani inaweza kuchukua kombe na inayoongoza kushuka daraja, point 11 zinatenga timu ya kwanza na ya mwisho ......

The Algerian Premier League title race is ridiculously tight - ESPN FC

i


UPDATE
Bado game 3


#TeamMPWDLFADPLast 5 matchesH2H
1ES Sétif2712873426+844 W L W L L
2MO Béjaïa27101072919+1040 D L L L D
3MC Oran27101071717+040 D W L D W
4USM El Harrach27124112728-140 D W W D L
5
delta_plus.gif
CR Belouizdad2711792531-640 W W L D D
6
delta_plus.gif
CS Constantine2710892827+138 W W D D L
7
delta_min.gif
USM Alger2791083124+737 L D L D D
8
delta_min.gif
ASM Oran27107103234-237 L L W D L
9
delta_plus.gif
MC Alger2798103028+235 D D W W W
10
delta_min.gif
JS Kabylie27105123132-135 L W L L W
11
delta_plus.gif
JS Saoura2798102528-335 W L D D W
12
delta_min.gif
RC Arbaâ27112142533-835 L L L W L
13
delta_min.gif
MC El Eulma27104133533+234 L W W D L
14
delta_plus.gif
ASO Chlef2781092325-234 W L W W W
15
delta_plus.gif
NA Hussein Dey2789102021-133 W W L D D
16
delta_min.gif
USM Bel Abbès2788111824-632 L L W D W

UPDATE
Bado Mechi 2

TeamMPWDLFADPLast 5 matchesH2H
1ES Sétif2812973426+845 D W L W L
2MO Béjaïa28101173020+1041 D D L L L
3MC Oran28101171717+041 D D W L D
4
delta_plus.gif
CR Belouizdad2811892531-641 D W W L D
5
delta_min.gif
USM El Harrach28124122830-240 L D W W D
6
delta_plus.gif
CS Constantine2810992928+139 D W W D D
7
delta_min.gif
USM Alger2891183225+738 D L D L D
8
delta_min.gif
ASM Oran28108103234-238 D L L W D
9
delta_plus.gif
MC Alger2899103129+236 D D D W W
10
delta_plus.gif
NA Hussein Dey2899102222+036 W W W L D
11
delta_min.gif
JS Kabylie28106123132-136 D L W L L
12
delta_plus.gif
JS Saoura2899102528-336 D W L D D
13
delta_min.gif
RC Arbaâ28113142533-836 D L L L W
14
delta_min.gif
MC El Eulma28105133533+235 D L W W D
15ASO Chlef2881192325-235 D W L W W
16
delta_min.gif
USM Bel Abbès2889111824-633 D L L W D



Update
League Imekwisha Tofauti ya Mshindi na Aliyeshuka Daraja ni Points 15


# TeamMPWDLFADPLast 5 matchesH2H
1ES Sétif3013983728+948LWDWL
2MO Béjaïa30121173623+1347WWDDL
3MC Oran30111181919+044WLDDW
4
delta_plus.gif
USM El Harrach30134133032-243WLLDW
5
delta_plus.gif
CS Constantine30119103231+142WLDWW
6
delta_min.gif
CR Belouizdad30119102734-742LDDWW
7USM Alger30101193527+841WLDLD
8ASM Oran30118113337-441LWDLL
9
delta_plus.gif
NA Hussein Dey301010102322+140WDWWW
10
delta_plus.gif
RC Arbaâ30124142835-740WDDLL
11
delta_min.gif
MC Alger30109113331+239LWDDD
12
delta_min.gif
JS Kabylie30116133335-239LWDLW
13
delta_min.gif
JS Saoura30109112629-339LWDWL
14MC El Eulma30115144036+438WLDLW
15ASO Chlef30812102428-436LDDWL
16USM Bel Abbès3089131928-933LLDLL


 
Truly ridiculous, shitty league this one.

Ofcourse its ridiculous tight and ridiculous good, fantastic and awesome but never shit... Hakuna league ambayo isingependa kuwa kama hii USHINDANI is the main ingredient in any sport...
 
Ofcourse its ridiculous tight and ridiculous good, fantastic and awesome but never shit... Hakuna league ambayo isingependa kuwa kama hii USHINDANI is the main ingredient in any sport...
To me, quality is the main ingredience. Quality kwanza, halafu ushindani, na kwa kuangalia huo msimamo ni wazi hakuna quality hapo.
 
To me, quality is the main ingredience. Quality kwanza, halafu ushindani, na kwa kuangalia huo msimamo ni wazi hakuna quality hapo.
What is Quality ?..., Tofautisha Quality na Gaps in Quality.., inawezekana Teams hazizidiani quality ila over all quality ya league ni kubwa..., Kumbuka pia hizi league nyingi za waarabu ni tofauti na nchi nyingi kwa wanamichezo wao wengi kucheza league ya ndani..., kumbuka ni hawa hawa unaowaita wachovu ndio kila tukikutana nao wanatupiga mabao ya kutosha as well as kwenda kwao kwenye Kombe la Dunia ni jambo la kawaida.., ni hawa hawa na quality zao ndio wameleta watu kama Zinedine Zidane....
 
What is Quality ?..., Tofautisha Quality na Gaps in Quality.., inawezekana Teams hazizidiani quality ila over all quality ya league ni kubwa..., Kumbuka pia hizi league nyingi za waarabu ni tofauti na nchi nyingi kwa wanamichezo wao wengi kucheza league ya ndani..., kumbuka ni hawa hawa unaowaita wachovu ndio kila tukikutana nao wanatupiga mabao ya kutosha as well as kwenda kwao kwenye Kombe la Dunia ni jambo la kawaida.., ni hawa hawa na quality zao ndio wameleta watu kama Zinedine Zidane....
Ungeniambia idadi ya wachezaji wao wanaocheza ligi hii ambao walikuwa WC ama walichangia team kufika pale labda ningeelewa, ila sio kesi.

Hahaha, Zidane ana asili ya Algeria tu, kama Nasri na Benzema, ila Algeria haijawatengeneza hawa watu. So Algeria haiwezi kuwa credited kwa mafanikio yoyote ya ki-mpira ya hao jamaa.
 
To me, quality is the main ingredience. Quality kwanza, halafu ushindani, na kwa kuangalia huo msimamo ni wazi hakuna quality hapo.

Nini maana ya quality? ubora wa ligi ni pamoja na ushindani au unataka kusema ni ligi yenye ushindani bila ubora? Inawezekana lakini unahitaji kutoa vigezo vipya vya ubora.
 
Nini maana ya quality? ubora wa ligi ni pamoja na ushindani au unataka kusema ni ligi yenye ushindani bila ubora? Inawezekana lakini unahitaji kutoa vigezo vipya vya ubora.
Ni kweli ubora wa ligi ni pamoja na ushindani, ila sio ushindani kama huo hapo. That's too much
 
Haiwezeksni kimahesabu, lazima kuna timu zitakutana na kuharibu mahesabu ya timu za chini bila kujali matokeo.
Kama Timu ya mwisho ikishinda mechi zake nne zilizobaki na ya kwanza ikishindwa mechi hizo nne regardless wanakutana na nani ni kipi kisichowezekana ?

Mathematically Timu yoyote hapo inaweza kuchukua kombe na Timu yoyote hapo kushika mkia ndugu Lonestriker
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli ubora wa ligi ni pamoja na ushindani, ila sio ushindani kama huo hapo. That's too much

Kwahio ubora ni mpaka wawepo wababe wachache na vibonde wengi ? League kama hii sababu kuna something to win and loose mpaka game ya mwisho kila game itakuwa na maana ndio maana nipo more inclined niangalia game ya mchangani kitaa wanapogombania mbuzi kuliko friendly game ya Brazil Vs Argentina au Chelsea Vs Ajax ambapo makocha watakuwa wapo pale for experimentation na sio points au ushindi (Nothing to play for) au game nyingi sasa mwishoni mwa league ambapo mid table teams wamesha-book ticket za Holidays na mawazo yao yapo kwenye Pina Collada na afya zao wasiumie na sio game in hand
 
Hiyo ndio ligi, atakaeshinda hapo lazima aingie robo fainali klabu bingwa afrika.

To me, quality is the main ingredience. Quality kwanza, halafu ushindani, na kwa kuangalia huo msimamo ni wazi hakuna quality hapo.

Kumbe hata holders wa Champions League wanatoka kwenye hii league kitu ambacho ni proof ya quality
BBC Sport - Holders Setif squeeze past Raja in African Champions League

[h=1]Holders Setif squeeze past Raja in African Champions League[/h]
Holders Entente Setif squeezed into the African Champions League group stage, after their goalkeeper Sofiane Khedairia saved two Raja Casablanca spot-kicks in the decisive shoot-out.
The Algerians defeated the Moroccans 4-1 on penalties after the second leg in Setif finished 2-2, leaving the North African clubs tied at 4-4 on aggregate.
 
Na Kama hio haitoshi........ angalia hapa @TUPACified
Two-time African champions Setif will discover their three group opponents on Tuesday when the draw is made in Cairo.
Raja are demoted to the African Confederation Cup and the eight play-off pairings will be made the same day.


Algeria are hoping to have a record three clubs in the group stage of the elite African club competition this season.


USM Alger and Mouloudia El Eulma face challenging routes to the last-eight stage.

USM hold a 2-1 advantage over Guineans AS Kaloum , who must host their second leg in neighbouring Mali because of the Ebola epidemic.
Eulma are slightly better off as they did not concede a goal at home when winning 1-0 against vastly more experienced Tunisian outfit CS Sfaxien.
Setif, USM and Eulma are hoping to create history as three clubs from the same country have never made it to the Champions League group stage.

Need I say more about the quality ?
 
Bado game 3

#TeamMPWDLFADPLast 5 matchesH2H
1ES Sétif2712873426+844 W L W L L
2MO Béjaïa27101072919+1040 D L L L D
3MC Oran27101071717+040 D W L D W
4USM El Harrach27124112728-140 D W W D L
5
delta_plus.gif
CR Belouizdad2711792531-640 W W L D D
6
delta_plus.gif
CS Constantine2710892827+138 W W D D L
7
delta_min.gif
USM Alger2791083124+737 L D L D D
8
delta_min.gif
ASM Oran27107103234-237 L L W D L
9
delta_plus.gif
MC Alger2798103028+235 D D W W W
10
delta_min.gif
JS Kabylie27105123132-135 L W L L W
11
delta_plus.gif
JS Saoura2798102528-335 W L D D W
12
delta_min.gif
RC Arbaâ27112142533-835 L L L W L
13
delta_min.gif
MC El Eulma27104133533+234 L W W D L
14
delta_plus.gif
ASO Chlef2781092325-234 W L W W W
15
delta_plus.gif
NA Hussein Dey2789102021-133 W W L D D
16
delta_min.gif
USM Bel Abbès2788111824-632 L L W D W
 
Na bingwa mtetezi wa klabu bingwa ya africa ( Caf champions league) anatoka algeria ambae ni ES Setif..

hawa jamaa ni noma. bila kusahau timu yao ya taifa ilimtoa jasho bingwa ujerumani kwenye mtoano kule brazil kwenye world cup.

hawa jamaaa wameamua kwenye mpira..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom