Mleta mada huyo nickmbish ni mburudishaji sawa na densa tu kwani baada kushinda mkali wa free style na kuachia wimbo wa play boy kashindwa ishawishi hadhira yeye ni msanii kabaki kuwa msanii wa harakati tu na kulaumu laumu kazidiwa hata na Godzilla ambaye wote walijulikana kupitia lile shindano la free style kwaiyo nickmbish mtoe hapo
Vile vile JCB mtoe hata kama unamini anajua uthibitisho upo wapi yani kazi zake zinazoweza mshawishi mtu akamini kuwa uyu ni bora
Fid Q sawa
J MO sawa
Prof sawa na hakuna Mc akili smart kama uyu wote waimbe ila prof atabaki kuwa the best ever kwani tungo zake zinaisha milele