The Most 5 skilled RAPPER in Bongo Hip Hop Of All Time.


TZ boy

TZ boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Messages
631
Points
225
TZ boy

TZ boy

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2012
631 225
Hi.. Every one ....?

Before sija-zungumza chochote katika uzi huu please hii thread ni kwa ajili ya fans of HIP HOP MUSIC tu please over please [HASHTAG]#TeamMziwanda[/HASHTAG] LOL, if you don't know any thing about Hip Hop Music its better ukawa msomaji tu acha wenye kuelewa huu mziki kuweza kukosoa na kuchangia kitu katika uzi huu lengo ni kukuza utamaduni huu wa mziki wa HIP HOP..
Pia haya ni mawazo yangu binafsi mimi pia na wewe unaweza kuwa na ya kwako unaweza share na sisi sio dhambi, Pia ruksa kukosa list hii ana kuzungumzia chocho kuhusu uchambuzi huu wa makala hii..

VIGEZO VILIVYOTUMIKA KUAANDA HII LIST HII NI PAMOJA NA;

  1. Uwezo binafsi wa uwasilishaji wa ujumbe kutipia matamshi na mitambao ya mdundo
  2. Utumiaji wa misamiti na lugha ya kiswahili ki ufasaha katika utuzi wa maishairi
  3. Uwezo binafsi wa ku stick katika maada husika wakati wa ku rap
  4. Ujuzi binafsi wa mitambao tofauti tofauti katika midundo
  5. Na mengine mengi..
Sorry nisikuchoshe acha tuanze kuihesabu list yetu ya rapper(Wafokaji) bora wa tano katika mziki wa bongo hip hop wenye uwezo binafsi wa siku zote ;

5. NIKK MBISHIWatu wengi wanaweza niuliza why ?, Nikk Mbishi, Jibu ni dogo tu "UWEZO BINAFSI" Nikk ni moja kati ya rapper wenye confidence na uwezo binafsi katika utunzi na kusimamia kile anacho kiamini katika maisha yake ya mziki pia ni moja kati ya rapper bora wanaozungumziwa sana katika era hii ya Bongo Hip Hop kwa utunzi wake wa kiutofauti, Nikk ni moja kati ya rapper wenye uwezo wa ku stick kwenye maada husika hasa pale anapo rap na kuvaa uhusika kisawia kama alivokwisha fanya kwenye nyimbo mbalimbali kama HISIA na KIJUSI, Moja kati ya nyimbo ambazo nikk alishawahi fanya na kuwa bora kuwahi tokea ni pamoja na KIJUSI, AU, HISIA, KILA SIKU, PLAY BOY, SAUTI YA JOGOO na pia ni rapper mwenye nyimbo nyingi zenye ubora katika misingi ya HIP HOP.4. JCB MAKALLAUkisikia Paaa!! Ujue imekukosa...!!!! Jcb makalla moja kati ya rapper wakali tokea Arusha japo kwa sasa kifamilia yupo aboard. Watu wengi wana weza shangazwa na list hii but kwa wafatiliaji wa muda mrefu katika mziki wa bongo hip hop hawawezi bishana na mimi uwezo wa JCB ni mkubwa sana hasa kiuandishi na ku-rap JCB ni moja kati ya rapper pale unapo wapa topic ya kuzungumzia katika wimbo husika hufanya kitu roho inapenda, Pia kitu kinacho mfanya JCB kuwa bora na ni pamoja na flow yake katika nyimbo zake. Kama ilivyo kawaida HIP HOP inatengenezwa na vitu vingi, Pia katika vitu hivyo vingi ndivyo hufanya mapenzi na washabiki kuchangua rapper wanaowapenda na kuwapa kipaumbele katika kusikiliza nyimbo zao moja wapo ni pamoja na kuwa na flow tamu, aina ya uandishi wa mashairi, uwashilishaji wa ujumbe kwa hadhira na mengine mengi vitu hivi JCB anavyo.


3. JAY MOOJay moo, mzee wa stori tatu tofauti, hit maker wa PESA MADAFU kwa sasa . Jay moo ni moja ya wasanii wa zamani kwenye mziki wa BONGO HIP HOP, Kutokana na uwezo wake binafsi chini ya usimamizi bora wa producer bora bongo a.k.a father of bongo fleva P-FANK MAJANI amekuwa msanii ambaye hutoma nyimbo zale kwa muda na kufanya vizuri kila baada ya nyimbo zake kuwa hewani.

Moja sababu ya Jay moo kuwa msanii bora ni pamoja na utunzi wake wa mashairi, Jay moo amewahi kukili kuwa hutumia muda mingi linapokuja swala la utunzi wa mashairi na upangiliaji wa mizani katika nyimbo zake ndio sababu ya nyimbo zake kuwa hit kwa muda mingi na kutochuja ki uharaka kwenye ramani ya mziki wa bongo.


2. FID QFid Q a.k.a Jeshi la mtu mmoja, rapper toka mwanza rapper mwenye uandishi mgumu wa mashairi na utunzi wa hali ya juu kwenye nyimbo zake. Kitu kinacho mtofautisha Fid Q na rapper wengi bongo ni uwezo wa kutumia kiswahili na misamiati migumu kwenye mziki wake kufikisha ujumbe.

Watu wengi wameshasikika wakikili kuwa huwachukua muda kuweza kuelewa nyimbo nzima ya FID Q na nini alikimaanisha katika nyimbo husika.

FID Q ni moja kati ya rapper wa zamani kwenye mziki wa bongo ambao kila siku wamekuwa wakisonga mbele katika mziki wa bongo na kupata mafaniko mengi ya mziki huo.1. PROFESA JAYPro Jay ni moja kati ya rapper waliofanya mziki huu wa bongo hip hop kufika hapa ulipo kutokana na uwezo wake binafsi, Pro Jay ameweza ku washawishi wazazi wa rapper wengi wa sasa katiaka bongo hip hop kuweza kufungua milango kwa watoto wao katika mziki huu wengi wazazi kwa sasa wana amini kuwa mziki wa BONGO HIP HOP sio uhuni, Pia ki uwezo binafsi Prof Jay ni moja kati ya wasanii ambao kila wanapotua nyimbo mpya huwa hit song katika media zote za hapa Bongo na kuwa msanii anae heshimika na rika zote na kwa sasa yupo kwenye ulimwengu wa SIASA napo anafanya vizuri..


Karibu kwa maoni mbali mbali na mapendekezo yako binafsi kuhusu makala hii. Pia unawezi soma makala nyingi kama hivi HAPA na kushare na rafiki zako karibu wote ? :cool:

 
baba kayla

baba kayla

Member
Joined
Mar 28, 2016
Messages
60
Points
95
baba kayla

baba kayla

Member
Joined Mar 28, 2016
60 95
Mleta mada huyo nickmbish ni mburudishaji sawa na densa tu kwani baada kushinda mkali wa free style na kuachia wimbo wa play boy kashindwa ishawishi hadhira yeye ni msanii kabaki kuwa msanii wa harakati tu na kulaumu laumu kazidiwa hata na Godzilla ambaye wote walijulikana kupitia lile shindano la free style kwaiyo nickmbish mtoe hapo

Vile vile JCB mtoe hata kama unamini anajua uthibitisho upo wapi yani kazi zake zinazoweza mshawishi mtu akamini kuwa uyu ni bora

Fid Q sawa
J MO sawa
Prof sawa na hakuna Mc akili smart kama uyu wote waimbe ila prof atabaki kuwa the best ever kwani tungo zake zinaisha milele
Single ngapi za nikki unazijua?[/QUOTE]Unaifaham misingi ya hip hop vzur pa1 na element zake na utamaduni wake kwa ujumla???? Nikkimbishi is an exceptional in hip hop fanya utaft utagundua hlo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baba kayla

baba kayla

Member
Joined
Mar 28, 2016
Messages
60
Points
95
baba kayla

baba kayla

Member
Joined Mar 28, 2016
60 95
"Nikkimbishi" tukubali tukatae tualale tuamke huyu emcee sio wa kawaida hapa ht fid q anakaa na fatlia kla mchangia mada kwnye list lazma amuweke nikkimbshi mm nmemshudia kwa ukarbu jamaa akiwa jukwaan huyu n gifted ht juz nash mcee mwnywe kakili kuwa nikkimbishi co wa kawaida ukitaka kuamini weka midundo chukua wte unaowajua weka pale alafu utajionea mwenywe...Notabene maneno yangu sio sheria na atakayechangia wazo langu awe kwel anafatlia hip hop kwa uzuri ndo tuzungumze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Starboywiz

Starboywiz

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Messages
592
Points
1,000
Age
22
Starboywiz

Starboywiz

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2016
592 1,000
dizasta vina namkubali kwa flow, anastick kwenye content dah ukiskiliza kazi zake unafeel uhalisia wa hip hop but he is underrated
I second you bruh, Dizasta vina yuko vizuri sanaa..ana uandishi, vina, punchlines na flow. Kikubwa ana stick kwenye content, watu wanamu underrate sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,284,203
Members 493,978
Posts 30,817,212
Top