The Most 5 skilled RAPPER in Bongo Hip Hop Of All Time.

Mleta mada huyo nickmbish ni mburudishaji sawa na densa tu kwani baada kushinda mkali wa free style na kuachia wimbo wa play boy kashindwa ishawishi hadhira yeye ni msanii kabaki kuwa msanii wa harakati tu na kulaumu laumu kazidiwa hata na Godzilla ambaye wote walijulikana kupitia lile shindano la free style kwaiyo nickmbish mtoe hapo

Vile vile JCB mtoe hata kama unamini anajua uthibitisho upo wapi yani kazi zake zinazoweza mshawishi mtu akamini kuwa uyu ni bora

Fid Q sawa
J MO sawa
Prof sawa na hakuna Mc akili smart kama uyu wote waimbe ila prof atabaki kuwa the best ever kwani tungo zake zinaisha milele
Single ngapi za nikki unazijua?[/QUOTE]Unaifaham misingi ya hip hop vzur pa1 na element zake na utamaduni wake kwa ujumla???? Nikkimbishi is an exceptional in hip hop fanya utaft utagundua hlo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Nikkimbishi" tukubali tukatae tualale tuamke huyu emcee sio wa kawaida hapa ht fid q anakaa na fatlia kla mchangia mada kwnye list lazma amuweke nikkimbshi mm nmemshudia kwa ukarbu jamaa akiwa jukwaan huyu n gifted ht juz nash mcee mwnywe kakili kuwa nikkimbishi co wa kawaida ukitaka kuamini weka midundo chukua wte unaowajua weka pale alafu utajionea mwenywe...Notabene maneno yangu sio sheria na atakayechangia wazo langu awe kwel anafatlia hip hop kwa uzuri ndo tuzungumze

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom