The moment of truth: Mwambie waweza kwenda...!

Hakuna masika yaso na Mbu
IMG_20180317_190410_506.jpg
 
Mimi nimeishia tu kuteseka miezi na miezi. Nilikuwa na kilo 64 lakini baada ya miezi minne ya mateso nimebaki na kilo 53 na bado sijamuacha. Muda mwingine nawaza tu hivi siku akinitamkia kwa kinywa chake "Sikupendi" ama "Tuachane.. dah! Ntaumia sana na hakika cha moto ntakiona.
 
Usisubir mpaka aseme. Mwingine hasemi ila anakutesa mpaka uondoke mwenyewe. Kama u dont feel right about it then let it go.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom